Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Vipi bado unaendelea kumpigia deki Lowasa?Wewe ndio upo upande wa hawaView attachment 1842579
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi bado unaendelea kumpigia deki Lowasa?Wewe ndio upo upande wa hawaView attachment 1842579
Katiba inayotungwa na wadanganyifu aina ya viongozi wa chadema, na ACT haiwezi kuwa muarobaini wa chochote ktk nchi hii. Mbowe arudishe kwanz katiba iliyokuwa inampa mwenyekiti wa chadema vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Na Zito aache ujanja wa kujipa cheo kilicho juu ya mamlaka ya mwenyekiti wa chama chao.Sisi tupo na KATIBA!! Weka hoja sio unadudaduda kama kitenesi