Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi.

Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao.

Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana wachache Sana wanaovaa mavaji ya ajabu. Nikijiuliza Hawa wasichana wa Dar es salaam nani aliwadanganya. Inakuwaje mtu mwenye akili zako unanivunia makalio. Nikijiuliza kwanini Sisi huku tunapenda matusi.

Watu kila kukicha hawezi kuishi bila matusi.

Kutembea unajifunza mengi. Ni elimu tosha
 
To each their own.

Ila ni vizuri kujifunza mazuri na mema.
 
Back
Top Bottom