Tuache masihara, idara ya FBI ya Marekani wako Sayari nyingine kwenye mambo ya uchunguzi wa makosa ya jinai

Mrediii
 
Bongo TISS inafanikiwa kukusanya intelligence kwasababu wabongo ni wambea isingekuwa hivyo wangekuwa na wakati mgumu
 
Na ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa uhalifu
 

Yup!

Feds conviction rate yake iko kwenye asilimia za juu za 90 huko. 95%-98%.

Huwa hawafungulii mashitaka ili mradi tu.

Wakikufungulia mashitaka basi ujue wana ushahidi ambao hata wewe mwenyewe mtuhumiwa huwezi kuukana.

Na ndo maana kesi zao nyingi huwa hata hazifiki kwenye hatua ya trial.
 
Tunalinganisha taasisi za mataifa yenye miaka 200 ya uhuru vs miaka 50 ya uhuru

Aisee
Tanzania hata ukiibadilisha Leo iwe na miaka 300 ya Uhuru bado upuuzi utakuwa huu huu.
 
Kwanza kuchunguza tu kesi zaidi ya miezi sita huo ni udhaifu wa mbinu, na upigaji wa kijinga.

Hapa ndipo huwa naona udhaifu wa Mwanadamu.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100%, FBI hawana mchezo. Jana nilikua naangalia hii ya episode, jamaa pamoja na kua alificha ushahidi karibu 100% ya kuhusika kwenye utekaji na uuaji lakini bado feds walimtia kifungoni.

Kuna ile moja ya DC gangs walivyomkamata Kobi Lawman hapa Tanzania mwaka 1994 baada ya upelelezi wa zaidi ya mwaka mmoja.

Nakubaliana na wewe kabisa mkuu.
 
Intelligence service ya Tanzania iko serious kwa viongozi wakubwa wa nchi ( Na vyama vyao), si kwa ajili ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…