Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Watu wenye masihara wamevamia jukwaa hili,unakuta MTU ameweka post ya kutafuta mpenzi kumbe hayuko serious,anataka aone tu wangapi watampaparikia! hasa wasichana na wanawake ndo wenye tabia hizi!

Utakuta wanawake wote wanaotadufuta wapenz humu huwa ni 'NEW MEMBERS'Wanafanya hivi ili kutogundulika na wanaume ambao pengine walishafanya nao communication before!

Binti mwingine kaweka bango lake kuwa anatafuta mchumba,tena kaweka na namba za simu!wachumba wanampigia simu anapokea na kuanza kutukana matusi

'we mshenzi mkubwa aliyekuambia mi natafuta mchumba nan?mngese wew!'


Kwa siku zijazo tabia hizi zikidumu kutakuwa hakuna haja ya kuingia jukwaa hili ili kutafuta mwenza.

Watu wenye mizaha,dhihaka,jeuri,dharau na wazandiki ndo wamejaa katika jukwaa hili!

N.B-IMEKUWA VIGUMU KUPATA MPENZI JF, WATU WANAJIRUDIA WALEWALE KWA MAJINA TOFAUTITOFAUTI!
 
Ukiona mtu anatafuta kwenye mitandao ujue jamii yake imemshindwa kwa tabia zake mbovu

Na niwachache wanao kuwa na uhitaji wa kweli na kulingana na mazingira aliyopo
 
bunge lipit
Bunge la Afrika Mashariki na Kati liingilie hili swala.
Watunge sheria na sera za kuendesha jukwaa la Love Connect.

sheria no #1 iwe
MTU asiruhusiwe kupost Uzi wa kutafuta mpenzi kabla hajafikia hadhi ya JF-EXPERT MEMBER,-hapa tutakuwa tumewabana wasichana wanaokuja na IDs mpya kila Leo!!!!
 
Nalaani vikali sana vitendo hivyo vya baadhi ya wana New Member wa jukwaa hili. Naagiza mamlaka huska zichukuwe hatua Kali za kisheria
 
Hiyo kweli lakn pia kuna baadhi ya wanaume sijui ndo udomozege au VP yaani MTU unachat na mwanamke kama unachat na mwanaume mwenzio, they ain't romantic at all yaan mpaka unawaza huyu akiwa mume itakuwaje ndani inabidi ujikatae,
 
Back
Top Bottom