Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
missHiyo kweli lakn pia kuna baadhi ya wanaume sijui ndo udomozege au VP yaani MTU unachat na mwanamke kama unachat na mwanaume mwenzio, they ain't romantic at all yaan mpaka unawaza huyu akiwa mume itakuwaje ndani inabidi ujikatae,
yaan mtu had kwenye kuchat awe romantic, hata bado hamja fahamiana uzuri, bado hamjatambuana poa, ana anaza tu kuwa romantic!!? hapo mnatuonea bhana, give them a time hapo unaweza ku determine, ilimrad asiwe ana kutukana au ana kuvunjia heshima yako na utu wako