Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

Tuache masikhara kwenye jukwaa hili la love connect

asee ngoja kwanza ni set mambo na miss charming
halafu
tutakutana tinder, ile kweli ya kikubwa asee mi kwa ubora ule nikajuaga wabongo hakuna [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tinder iko location based,means utaona watu walio karibu na wewe atleast 100 km,sasa ustegemee kuwakuta kina mwantumu kama uko uholanzi
 
Tinder iko location based,means utaona watu walio karibu na wewe atleast 100 km,sasa ustegemee kuwakuta kina mwantumu kama uko uholanzi
mkuu niko Tandale kwa hiyo kina mwantumu ndio wanahitajika [emoji23]
 
gud man
we jamaa kwa idea kubwa kubwa uko vzuri
tatizo idea ndogo ndogo ndio tunapishanaga [emoji23]
Hahaha tuvumiliane hivyohivyo ndugu,binadamu hatujakamilika ukijua hili mwenzako anajua lile,chamuhimu tuishi in harmony.
 
Hahaha tuvumiliane hivyohivyo ndugu,binadamu hatujakamilika ukijua hili mwenzako anajua lile,chamuhimu tuishi in harmony.
usjali kwanza in a health society people think differntly and they celebrate their difference
 
Nanyie mkome kupenda kuseleleka.we. ushindwe kupata mtu wa kukufaa huko kwenye mtaani maisha halisi utegemee kuja kumpatia humu?
Mkuu, huo ni mtazamo hasi! vipi wanaotoa ushuhuda wa kuwapata wenza wema kupitia jukwaa kama hili?
 
Kweli kabisa! Hii tabia ya kuleta masihara kwenye hili jukwaa naona inashika kasi.
Na kuna mtu mwingine anaweka bandiko akiwa tayari na mtazamo hasi kuwa wanawake/wanaume wa mtandaoni ni walioshindikana kwenye jamii. Matokeo yake ukimfata PM anakuwa na majibu ya ajabu mpaka unajiuliza hiyo thread aliiandika ya nini?
 
Alamsiki bibie
Ib nur!
Mitego yako ikinasa usisahau kunishtua ili nami nikatege yangu huko.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakupata mkuu wala sijasema ni jambo baya,mie mwenyewe nmetega nyavu zangu maeneo kadhaa(sio jf).tatizo hawa wanaodandia alafu wanashindwa kukabiliana na changamoto wanakuja kulialia
 
So ahh nikitaka wa kuchati naye ili tunoe skills (mdada) nafanyaje?
 
Ib nur!
Mitego yako ikinasa usisahau kunishtua ili nami nikatege yangu huko.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahah huko ni kimya kimya shosti,hata ukikutana na mtu unayemfahamu mnapishana kama hamjuani.ni kama ule msemo wa what happens in vegas stays in vegas

Alafu ndo tuseme ile ndoano yangu hujaiona ama ndo unadankidanki tu.
 
Back
Top Bottom