Tuache Siasa, Riba ya Mabenki ya biashara kukopesha Raia ni suala la Vihatarishi na sio maamuzi ya Serikali

Inachangiwa na nini riba kupunguziwa mkopaji? Je wale wanakopa nje ya nchi kwa USD, awapati athari au shida yoyote kutokana na shilling yetu kuwa WEAK dhidi ya DOLLAR?
Wataathiriwa na kiwango cha ubadilishaji yaani Exchange rate

Ukikopa nje dollar, Kila wakati utaomba dollar ipoteze thamani ili utumie shilingi chache kulipa deni la dola

Dollar inapokuwa imara unatumia shilingi nyingi kulipa deni lako

Tanzania Bank chache vitabu vyake vya mahesabu vimekuwa dominated in Forex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa wafanyakazi wa serikali ambao wanakopea mishahara , na wenyewe wana risk ? Tz banks are just too greedy, wanataka over profit, hii sawa, serikali ilinde watu wake.
Hakuna insurance au commitment ya serikali kwa wafanyakazi wake

Mfano mfanyakazi akifukuzwa kazi, Je serikali ipo tayari kulipa deni au la

Wafanyakazi wa vyeti feki waliokopa Bank, Je Bank walipata wapi pesa kurudisha mikopo yao

Vihatarishi bado vipo pale pale kwa wafanyakazi wa serikali

Bank nyingi zimeanzisha Bima ya mikopo ambayo mtu anakatwa wakati wa kukopeshwa pesa ila ni kiwango kidogo sana sana

Makampuni ya Bima yapo makini sana kugurantee insurance za mikopo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa wafanyakazi wa serikali ambao wanakopea mishahara , na wenyewe wana risk ? Tz banks are just too greedy, wanataka over profit, hii sawa, serikali ilinde watu wake.
Well tusiandikie mate wino upo.., nakushauri u-mobilize na wengine ili uweze kuwasaidia wanajamii wenzako kwa kuwasaidia mikopo; tufanye vitu practically

 
Hapa ni ujinga wako tu.

Kuna benki unakopa 100m, riba ni 10m kwa mwaka tu.
 
Swala la riba na mkopo sio kama conundrum ya kuku na yai wich came first.

Banks are not stupid kabla awaja kukopa kwanza wanahakikisha kwenye interest computation kuna future value (inflation) ndani ya malipo.

On top of that kuna interest ya kulipa deni lao na interest ya faida.

Moreover kabla awajakukopa wanafanya risk assessment ya uwezo wako wa kulipa deni (ndio maana sio rahisi kila mtu kupata mkopo) na kwenye risk assessment zao wanaweka room for bad debt katika mikopo wanayotoa.

So in accounting practice kama wewe ndio serikari if you want to pressure the banks to lower their (interests) unaangalia percentage of their bad debt at the end of the year (how much are the actual default) and their profit margin.

Bank za Tanzania zipo way above their bad debt estimates (needing adjustments) and making so much profits because of high borrowing interests and unnecessary charges; uwezi kumtoza mtu hela kutumia ATM machine nor to make a transfer it doesn’t cost them that much in administration costs.

Long story short banking in Tanzania needs an overhaul. However inflation based corruption needs to be controlled also it makes difficult to pressure banks to lower their interest.

In short kwenda mbele come 2025 nchi inahitaji raisi kijana; nchi inahitaji mageuzi ya kiutendaji na kifikra.

TANU era is done 👋👏👏 pumzikeni waachieni damu mpya wazee wa TANU.
 
Sijui mnalinganisha na nchi gani? Malawi inakwenda mpaka 30% p.a.
 
Mzee bank gani wanatoa deposit interest rate ya 16% kwa mtu anayeweka chini 100m ? Ukienda kuweka fixed utapewa rate za chini ya 10% per annum ila ukienda kuomba mkopo utaambiwa 18% ? Biashara ya bank bongo ni wizi uliohalalishwa kisheria tu.
Rate kubwa utapewa kwenye deposit yako pale utakapoamua kufix pesa yako kwa muda mrefu /Longterm kuanzia miaka mitatu na kuendelea

Kwa miaka kuanzia miwili utapata zaidi ya 10%

Watanzania wachache na wenye akili tu ndio wanaamua kufix pesa kuanzia miaka miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa unaongelea hisia zako tu binafsi-ingawa hamna uhalisia sana.Ungekuwa una background kubwa kwenye hz financial institutions usingeandika haya.
 
Hawa wateja ni wachache mnoo kwenye portifolio za bank,lakini huwezi kuja na akili timamu ukasema riba za sasa sokoni ni 9% wakati zipo offered kwa kundi ambalo ni less than 1% ya wateja wote-It's a joke
Corporate customers Ni wachache lakini ndio wateja Bank zote zinawahitaji

Corporate customers ni wachache sana na ni gharama kuwa managed lakini wanapeleka Deposits kubwa Bank, Lazima nao wapewe nafasi yao maalum

Bank nyingi zinashauriwa kutengeneza wateja wadogo wadogo yaani Retail customers wengi ili kupunguza gharama za uendeshaji, Retail customers sio wasumbufu kwenye negotiations ukilinganisha na wateja wakubwa/Corporate customers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nikakwambia huna uelewa na taasisi za kifedha Tanzania,Unaongelea masuala ya shule na hisia zako binafsi.Be specific kwenye hoja zako pia,manake ukiulizwa huku unarukia kule-consistency ni muhimu sana kwenye arguments.
 

Nafikiri serikali ingeingilia kati kupunguza hizo rate tukianza na kupunguza reserve ratio mzunguko wa pesa mtaani mdogo sana aisee....
 
Nimejiuliza hili swali sana. Imekuwa hivyo hivyo tangu maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yalipovamiwa!!
Hii serikali inafikiri duniani kila mtu ni mjinga kama wao,Yaani wanatuambia wananchi na dunia kwamba uchumi unakuwa kwa kasi halafu makusanyo ya kodi yanashuka-Where on earth? wakati economic growth na Revenue collection vina positive relationship.Wamekuwa wanadanganya ili waweze kukopa alafu wanasahau uchumi huwa haudanganyi-Wamepigwa pabaya sana kwenye marejesho ya mikopo manake marejesho ni responsibility
 
Nakubaliana na wewe. Mimi siyo mchumi lakini uzoefu wangu wa Marekani ni kuwa wakopeshaji wanatafuta watu wa kukopesha. Mabenki huwatumia watu barua kuwabembeleza wakope tena kwa riba ya chini kabisa.
Ingekuwa watu wengi ni Credit Worthy Benki zenyewe zingepanga foleni kubembeleza watu na kushusha riba to the minimum
 
wakuu naomba kuuliza

NBC bank riba ipo asilimia ngapi? nashukuru
 
Well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…