technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Naomba nitoe ushuhuda kidogo.
Mimi ni moja ya watu ambao najaribu kuwekeza kwenye kilimo ila naleta ushuhuda ili liwe somo kwa serikali na wananchi kwa ujumla.
Maka jana nililima ekari 20 za mahindi mkoa wa Rukwa na nilipovuna mwezi wa 7 mwaka jana nilipata gunia 350 nikaweka store maana kipindi kile gunia moja ilikuwa linauzwa elfu 30 kwa mkoa wa Rukwa.
Nikaanza kununua mahindi nikanunua gunia 650 kwa average bei ya elfu 35 kwa gunia.
Nikawa na gunia kama elfu 1 nimeuza leo kwa laki 1 kwa gunia na nimetengeneza kama net profit ya mil 60 ndani ya mwaka mmoja ukitoa gharama za kulimia na kununua mazao.
Mwaka huu nataka kuandaa heka 50. Kilimo ndio pekee kinaweza kuwakomboa wananchi then viwanda then ndege ambazo ni tertially sector. kilimo kinatakiwa kuangaliwa kwa jicho la tatu ili watu wakishalima na kuvuna waweze kupanda ndege.