Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mazungumzo kati ya sangoma na Syntia yalikuwa hivi
Synthia: Hodi hapa
Sangoma: ingia
Synthia: ahsante shkamoo docta
Sangoma: marhahabaaaaaa, karibu ukae
Synthia: ahsante
Sangoma: sema shida yako
Synthia: docta kuna mkaka flani hivi ananitongoza ila sijamkubalia, nikaona nije nikuone ili unisaidie kumuangalia kama ana mke, kama ndio mume wangu kabisa, je anapesa na atakuwa ananisaidia nikiwa na shida.
Sangoma: enhe anaitwa nani nipe majina yake yote, unayo picha yake
Synthia: ndio majina haya hapa nimeandika na picha yake hii hapa
Sangoma: Grrrrrr, grrrrrr, grrrrrrr nimemuona huyu hapa grrrrrrrrrr, sasa huyu mwanaume sio mume wako anataka tu ukae naye na mfanye yenu basi
Synthia: docta hela anazo eheh
Sangoma: Huyu ninavyo muona hana shida kabisa ila chunga sana muweke karibu sana na wewe
Synthia: sasa docta huyu mkaka si umfanyie kitu ili pesa zote awe ananipa mimi, kila ninachosema awe anakubali wala asifurukute
Sangoma: hamnashida atakuwa anakupa kila kitu, sasa hela ya vifaa umeleta sh ngapi lakini
Synthia: jamani doctor hela sio tatizo
Sangoma: grrrrrrrrr, grrrrrrrrrr, grrrrrrrrrr utapata kila unacho kitaka nimesha mchukua huyu mchumba wako kila kitu atakupa
Synthia: ahsante ndo navyotaka nataka nimlie hela zake hadi nimjengee mama yangu nyumba kijijini na hata jua.
Sangoma: haya nenda kaoge hii *awa, muwekee kwenye maji ya kuoga na hii hapa uweke chini ya mto hakikisha haioni.
ITAENDELEA MAY 6, 2018.