Usilinganishe Gaucho na vitu vya kijinga.
Vita ya tatu ya Dunia!usimfananishe messi na vitu vya kijinga
Ukitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyamaKuna watu wabishi sana humu, wanamoverrate messi, nakubali anajua lakin Messi haburudishi kama alivyokuwa Gaucho.. Messi yeye anataka matokeo tu, Gaucho alikuwa analeta burudani yaani huku akae Ndanda Cossovo alafu huku akae Gaucho wengi watajaa kwa Gaucho kutokana na uwezo wake wa kuburudisha.
Sidhan kama patatokea wanaojua kuuchezea mpira kama Gaucho.. hawa akina Messi, Ronaldo hawana lolote zaidi ya mbio.. wakipata mpira kama duma hivi mbio golini kwenda kufunga...
Akamuulize huyo gaucho Marcelo ramos boateng buffon na wengine sio anakaa kuongelea keyboardUkitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
Hakuna beki aliyekuwa anataka kukabana na Gaucho bobUkitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
Curtous namba moja ya wahangaUkitaka kujua hilo waulize mabeki au makipa watakupa jibu,,andunje si wa sayari hii ndugu..Kwanza yule si binadam ni mdudu sijui ni mnyama
Tatizo gaucho alipenda kutoka burudani zaidi kuliko kufanya kazi kazi uwanjani...
Burudani za gaucho zitakumbukwa ila si kama burudani za La Pulga na kazi kazi zake uwanjani.
Usifananishe gaucho na upuuziOkocha na gaucho nani zaidi
Usifananishe gaucho na upuuzi
Labda nikuulize wewe,,,unamjuwa gaucho?Unamjua okocha?
Hata km nampenda mesi na anajua ila siwezi mwita ronaldo upuuzi... Tunaocheza mpira tunajua ugumu wake na tunaheshimu uwezo hatutangulizi mapenzi mbele bila factsLabda nikuulize wewe,,,unamjuwa gaucho?