Tuache ubishi usio na maana Messi hana entertainment yoyote uwanjani kumzidi Gaucho

Tuache ubishi usio na maana Messi hana entertainment yoyote uwanjani kumzidi Gaucho

Hata km nampenda mesi na anajua ila siwezi mwita ronaldo upuuzi... Tunaocheza mpira tunajua ugumu wake na tunaheshimu uwezo hatutangulizi mapenzi mbele bila facts
Hivi okocha ni lini alifika rank ya gaucho?
 
Back
Top Bottom