Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unakua mchoyo wa penzi, halafu matokeo yake ukifika nyumbani unaishia kupiga punyeto,huku ukijutia kupoteza fursa uloikataa bila sababu ya msingi, baada ya kuombwa penzi na mtu wa maana sana.
Na mbaya zaidi saa zingine, ukimkuta mtu yule yule uliemkataa anatoka na mtu mwingine na wanapendana kweli kweli na mwenzi wake, unafura, unajuta na unaona wivu tena, dah! 🐒
Binti mzuri kweli lakini anajichua, au kijana mtanashati kabisa lakini kumbe mpiga punyeto tu, dah...
Tuache uchoyo ndugu zango.. ona sasa uchoyo unavyokutafuna mwenyewe ..