Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimeangalia mpira leo na JKT hadi natamani kuivunja TV yangu kuwavaa wachezaji na Benchika mwenyewe.
Kiwango ni kibovu sana, niliona tangu Kigoma, Tabora, Mwanza na leo pale jeshini mimi kama mdau wa Simba sifurahishwi kabisa na kiwango.
Fabrice Ngoma akicheza namba 6 timu inapooza sana, wakicheza kwa pamoja Ngoma, Kanoute na Babacar au Babacar, Kanoute na Mzamiru timu inacheza kwa slow mno.
Sijajua kwanini Benchika anapenda kuanza na Kanoute, Ngoma na Babacar kwa pamoja.
Uchezaji wao uko slow sana ndio maana mipira mingi haifiki mbele kwa wakati.
Simba sasa hivi tegemeo letu ni Kibu Dennis.Yeye ndiyo anaonekana kama mchezaji wa kigeni vile.
Kama sio makosa ya Geita na Leo wale JKT kupitia Ismail Kada gemu zote zilikuwa sare ya 1 - 1.
Sioni mabadiliko yoyote ya kiufundi kwa Benchika.
Kwamba eti Simba imecheza mechi 6 kwa siku 15 kwahiyo kuna fatigue sikubaliani na hoja hiyo.
Halafu kama Onana mmemuondoa kwenye ligi ya bongo na kumbakisha kwenye ligi ya mabingwa mseme pia, sio dhambi.
But all in all, mipango ya Yanga ni kuhakikisha mechi 3 tu mnadondosha points ili watangaze ubingwa.Kila kitu kwao kimekaa sawa.Washajua mechi zipi Simba hamtoboi na zipi mnatoboa.
Wanawaendesha viongozi wetu kama remote control.