Tuache unafiki kiwango cha Simba kiko chini mno

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimeangalia mpira leo na JKT hadi natamani kuivunja TV yangu kuwavaa wachezaji na Benchika mwenyewe.

Kiwango ni kibovu sana, niliona tangu Kigoma, Tabora, Mwanza na leo pale jeshini mimi kama mdau wa Simba sifurahishwi kabisa na kiwango.

Fabrice Ngoma akicheza namba 6 timu inapooza sana, wakicheza kwa pamoja Ngoma, Kanoute na Babacar au Babacar, Kanoute na Mzamiru timu inacheza kwa slow mno.

Sijajua kwanini Benchika anapenda kuanza na Kanoute, Ngoma na Babacar kwa pamoja.

Uchezaji wao uko slow sana ndio maana mipira mingi haifiki mbele kwa wakati.

Simba sasa hivi tegemeo letu ni Kibu Dennis.Yeye ndiyo anaonekana kama mchezaji wa kigeni vile.

Kama sio makosa ya Geita na Leo wale JKT kupitia Ismail Kada gemu zote zilikuwa sare ya 1 - 1.

Sioni mabadiliko yoyote ya kiufundi kwa Benchika.

Kwamba eti Simba imecheza mechi 6 kwa siku 15 kwahiyo kuna fatigue sikubaliani na hoja hiyo.

Halafu kama Onana mmemuondoa kwenye ligi ya bongo na kumbakisha kwenye ligi ya mabingwa mseme pia, sio dhambi.

But all in all, mipango ya Yanga ni kuhakikisha mechi 3 tu mnadondosha points ili watangaze ubingwa.Kila kitu kwao kimekaa sawa.Washajua mechi zipi Simba hamtoboi na zipi mnatoboa.

Wanawaendesha viongozi wetu kama remote control.
 
Wachezaji kwa sasa utimamu wa mwili umeongezeka mechi tunashinda icho ndio muhimu

Ukumbuke unacheza na timu zinazojiandaa na kutaka point 3 pia ni Timu za ligi kuu sio umiseta.
 
But all in all, mipango ya Yanga ni kuhakikisha mechi 3 tu mnadondosha points ili watangaze ubingwa.Kila kitu kwao kimekaa sawa.Washajua mechi zipi Simba hamtoboi na zipi mnatoboa.
 
Shabiki wa majini fc unajifanya shabiki wa Simba 🤔 tunachotaka sisi ni kushinda sio timu imecheza vizuri au vibaya hilo lenu la majini ni huruma za refa tuu zinawaokoa msihadhirike
 
Ukiiangalia Ratiba Kwa Makini..... yaani Leo timu inacheza..
Kesho inasafiri..
Kesho kutwa ina train Uwanja husika..
Siku inayofuata inacheza..

Halafu mzunguko unajirudia Vile vile mara 5 au Zaidi... na bado Wanapata Matokeo..!

Kwa Kweli Hawa Wachezaji inapaswa tu Wapongezwe...!

Ni Shabiki Uchwara tu ndo atakuja na komenti Uchwara Lkn Shabiki kbs hasa kama hawa Wanaosafiri na timu hawezi kuleta Lawama..!

Ratiba ni ngumu, Wachezaji Wameonyesha kuwa Wao ni Wa Daraja La juu.... ! Ndio ni wa Daraja La 7 bora Afrika..!
 
Watu hawalioni Hilo, Siku 15 mechi 5, Yan Kila baada ya Siku 3 mechi, miili haipati muda wa kurecover
 
uchovu ratiba inabana,ligi ina timu ngumu,kutumia wachezaji walewale kwa kila mechi bila kuwapumzisha n,k
 
Nimeangalia mpira leo na JKT hadi natamani kuivunja TV yangu kuwavaa wachezaji na Benchika mwenyewe.

Kiwango ni kibovu sana, niliona tangu Kigoma, Tabora, Mwanza na leo pale jeshini mimi kama mdau wa Simba sifurahishwi kabisa na kiwango.

Fabrice Ngoma akicheza namba 6 timu inapooza sana, wakicheza kwa pamoja Ngoma, Kanoute na Babacar au Babacar, Kanoute na Mzamiru timu inacheza kwa slow mno.

Sijajua kwanini Benchika anapenda kuanza na Kanoute, Ngoma na Babacar kwa pamoja.

Uchezaji wao uko slow sana ndio maana mipira mingi haifiki mbele kwa wakati.

Simba sasa hivi tegemeo letu ni Kibu Dennis.Yeye ndiyo anaonekana kama mchezaji wa kigeni vile.

Kama sio makosa ya Geita na Leo wale JKT kupitia Ismail Kada gemu zote zilikuwa sare ya 1 - 1.

Sioni mabadiliko yoyote ya kiufundi kwa Benchika.

Kwamba eti Simba imecheza mechi 6 kwa siku 15 kwahiyo kuna fatigue sikubaliani na hoja hiyo.

Halafu kama Onana mmemuondoa kwenye ligi ya bongo na kumbakisha kwenye ligi ya mabingwa mseme pia, sio dhambi.

But all in all, mipango ya Yanga ni kuhakikisha mechi 3 tu mnadondosha points ili watangaze ubingwa.Kila kitu kwao kimekaa sawa.Washajua mechi zipi Simba hamtoboi na zipi mnatoboa.

Wanawaendesha viongozi wetu kama remote control.
Mmeshinda na bado hamna furaha, wazee wa kuandamana.
 
Unadhani Watakuelewa Hawa Ngada FC/Mbumbumbu FC/ Kolopwinho FC/ Wamatopeni FC.
 
Kama Azam Tu Amefika Golini Kwa Simba Zaidi Ya Mara 20 Sema Akina Dube Na Wenzie Hawakuwa Makini.

Ila Kwa Pacome, Max Zengeli, Mzize, Azizi Ki & Musonda Hawakukosi.

Tunawasubiri Sana Tena Wakubaliwe Ule Uwanja Wa Amani Zanzibar Complex Ili Tuwanyooshe Vizuri.
Kwa timu hii ikijichanganya kwa Yanga SC watapigwa 7 na kipa wenyewe ni Ayubu [emoji23][emoji1787][emoji16]
 
Kama Azam Tu Amefika Golini Kwa Simba Zaidi Ya Mara 20 Sema Akina Dube Na Wenzie Hawakuwa Makini.

Ila Kwa Pacome, Max Zengeli, Mzize, Azizi Ki & Musonda Hawakukosi.

Tunawasubiri Sana Tena Wakubaliwe Ule Uwanja Wa Amani Zanzibar Complex Ili Tuwanyooshe Vizuri.
Naunga mkono hoja
 
Nimeangalia mpira leo na JKT hadi natamani kuivunja TV yangu kuwavaa wachezaji na Benchika mwenyewe.

Kiwango ni kibovu sana, niliona tangu Kigoma, Tabora, Mwanza na leo pale jeshini mimi kama mdau wa Simba sifurahishwi kabisa na kiwango.

Fabrice Ngoma akicheza namba 6 timu inapooza sana, wakicheza kwa pamoja Ngoma, Kanoute na Babacar au Babacar, Kanoute na Mzamiru timu inacheza kwa slow mno.

Sijajua kwanini Benchika anapenda kuanza na Kanoute, Ngoma na Babacar kwa pamoja.

Uchezaji wao uko slow sana ndio maana mipira mingi haifiki mbele kwa wakati.

Simba sasa hivi tegemeo letu ni Kibu Dennis.Yeye ndiyo anaonekana kama mchezaji wa kigeni vile.

Kama sio makosa ya Geita na Leo wale JKT kupitia Ismail Kada gemu zote zilikuwa sare ya 1 - 1.

Sioni mabadiliko yoyote ya kiufundi kwa Benchika.

Kwamba eti Simba imecheza mechi 6 kwa siku 15 kwahiyo kuna fatigue sikubaliani na hoja hiyo.

Halafu kama Onana mmemuondoa kwenye ligi ya bongo na kumbakisha kwenye ligi ya mabingwa mseme pia, sio dhambi.

But all in all, mipango ya Yanga ni kuhakikisha mechi 3 tu mnadondosha points ili watangaze ubingwa.Kila kitu kwao kimekaa sawa.Washajua mechi zipi Simba hamtoboi na zipi mnatoboa.

Wanawaendesha viongozi wetu kama remote control.
Punguza utoto.

Au ungeingia ukacheze wewe.
 
Back
Top Bottom