Captain Eno
New Member
- Aug 8, 2023
- 1
- 1
Na wengi wao huishia kufungiwa ndani,
Mtoto mwenye matatizo ya akili, waweza kuta mtoto umezaa ana ulemavu kwenye akili yani hata yeye ni kama vile hajitambui,
Kipofu - Hawezi kuona, kujifunza pia inakuwa ngumu sana, kwa mazingira yetu hata kutembea nje kwa fimbo si salama.
Bubu - Hawezi kuongea,
Kiziwi - Hawezi kusikia huyu, hata kujifunza vipya hutumia muda mrefu sana, hata ukifatilia matokeo ya shule kama Njombe viziwi ni masikitiko, kwa mazingira yetu ya tanzania hata kujifunza lugha ya alama, ni mtanzania 1 kari ya 10,000 wanaijua.
kifafa cha mara kwa mara - hakibagui wala kuchagua sehem, popote tu hali ni tete.
vilema vya kumfanya mtoto asiweze kutembea wala kufanya shughuli za kawaida.
Maalbino siwezi waweka hapa, wao wana nafuu sana, ulemavu ni kwenye ngozi tu wala si viungo vya kuathiri kujifunza, mawasiliano, kutembea, n.k.