Tatizo watani mnauoga mwingi ........mpira upo uwanjani sio propagandaLeo ziliahidiwa sh ngapi kwani? Maana walivocheza na ssc zilikuwa ofa kem kem. Ushindi didoma jiji ml 15, droo ml 10, kumvunja mchezaji mil 5. View attachment 2064380
Ndo nawapa angalizo mkijikwaa msimu huu mmekwisha,ubingwa mtausoma kwenye gazeti,japo nafasi hiyo ya kubeba ubingwa kwenu ni finyu sana!Hapana mkuu.......SIMBA msikate tamaa mapema.....bado mna muda .....endeleeni kupambana[emoji23][emoji23]
Weeee aucho akikupigia pass hata ukimbie jukwaani inakufuata😅😅YANGA wanapiga hadi pass penyezi ( pass ambazo zinakufuata ulipo upande to upande)
Nasikia GSM wanakauli yao PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hizo ni stori za vijiweni mkuu.......Nasikia GSM wanakauli yao PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yani Bongo Kuna Mihemko ya Hovyo sana kwenye Soka, Kama Yanga Ina Mpira wa Bacelona kilichomtoa CAF round ya kwanza tu ni Nini? Mm ukiniambia Timu inacheza vizuri uniambie kimataifa imefika wapi sio inacheza farmer's league afu hype kubwaaKama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.......
Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.... .
Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA
Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
View attachment 2064358
Mkuu......subiri yajayo yanafurahishaYani Bongo Kuna Mihemko ya Hovyo sana kwenye Soka, Kama Yanga Ina Mpira wa Bacelona kilichomtoa CAF round ya kwanza tu ni Nini? Mm ukiniambia Timu inacheza vizuri uniambie kimataifa imefika wapi sio inacheza farmer's league afu hype kubwaa
Pamoja sana.Pia sisi tunawaombea SIMBA msikate upepo mapema .....tunapenda ushindani wenu
Tusubiri mpk yatakapoanza kufurahisha ndo tuanze kua na Hype.Mkuu......subiri yajayo yanafurahisha
Tulitolewa coz kikosi kilikua ndo kinaundwa......wrong timing ya hiyo michuano ndiyo iliyotucost
Kumbuka
up to know YANGA inacheza 60% ya mpira ulio kichwani mwa proffesor
Jiulize ikifika 100%. Pira litakuwaje