Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Hapana mkuu.......SIMBA msikate tamaa mapema.....bado mna muda .....endeleeni kupambana[emoji23][emoji23]
Ndo nawapa angalizo mkijikwaa msimu huu mmekwisha,ubingwa mtausoma kwenye gazeti,japo nafasi hiyo ya kubeba ubingwa kwenu ni finyu sana!
 
Mmmmh
Nasikia GSM wanakauli yao PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
IMG-20211231-WA0036.jpeg
 
Ndo nawapa angalizo mkijikwaa msimu huu mmekwisha,ubingwa mtausoma kwenye gazeti,japo nafasi hiyo ya kubeba ubingwa kwenu ni finyu sana!
Pia sisi tunawaombea SIMBA msikate upepo mapema .....tunapenda ushindani wenu
 
Kama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.......

Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.... .

Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA

Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
View attachment 2064358
Yani Bongo Kuna Mihemko ya Hovyo sana kwenye Soka, Kama Yanga Ina Mpira wa Bacelona kilichomtoa CAF round ya kwanza tu ni Nini? Mm ukiniambia Timu inacheza vizuri uniambie kimataifa imefika wapi sio inacheza farmer's league afu hype kubwaa
 
Utopolo kwa mihemko , sasa huo u man city dhidi ya Namungo au Simba mbona haukuwepo?
Hatutaki tuwaache gape kubwa watani .....we huon ligue inavyonoga saiz ....coz gape la point ni 2
 
Yani Bongo Kuna Mihemko ya Hovyo sana kwenye Soka, Kama Yanga Ina Mpira wa Bacelona kilichomtoa CAF round ya kwanza tu ni Nini? Mm ukiniambia Timu inacheza vizuri uniambie kimataifa imefika wapi sio inacheza farmer's league afu hype kubwaa
Mkuu......subiri yajayo yanafurahisha

Tulitolewa coz kikosi kilikua ndo kinaundwa......wrong timing ya hiyo michuano ndiyo iliyotucost

Kumbuka

up to know YANGA inacheza 60% ya mpira ulio kichwani mwa proffesor

Jiulize ikifika 100%. Pira litakuwaje
 
Tusubiri mpk yatakapoanza kufurahisha ndo tuanze kua na Hype.
 
Back
Top Bottom