3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
nina mambo muhimu ya kufanya kama wewe unona soka ni ajira kwako mimi kwangu ni burudani tusipangianeUjifunze kuchambua soka ......achana na ushabiki mahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina mambo muhimu ya kufanya kama wewe unona soka ni ajira kwako mimi kwangu ni burudani tusipangianeUjifunze kuchambua soka ......achana na ushabiki mahaba
Mkuu.....Kama uliangalia mpira .....utakubaliana na Mimi......Kama hujaangalia basi nakuomba angalia marudio yake
Zinapigwa hadi pass 1000/sc
YANGA wanapiga hadi pass penyezi ( pass ambazo zinakufuata ulipo upande to upande)
Tukutane fainali za mabingwa 2023
Mimi ni Simba damu ila nakubaliana na ww kabisa mkuu
Naona Man City wanatumia vibaya zile Oil money zao kwa kununua waamuziTangu lini? Pole sana mtani naona New Year imekuwa mbaya,Vijana wa Pep wametia mchanga birian la sikukuu
Mwiko Nyuma FC ss hivi wanaenda mashindano yao ya kimataifa ya mapinduzi Zanzibar!Tatizo wakienda kimataifa wanajamba tu
Watoto wa mama tu hawa! Wamewavizia tu wachezaji wa Azam ambao wamenenepeana kwa kulishwa mapochopocho ya Bakhresa!!
Watu wamevurugwa hataree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu acheni utani jamani. Yaani unataka kusema man city hii ya pep ni sawa na utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] u on drugs mate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Reserve mbali mno, hata Under 20
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii yanga ambayo ukiitajia rivers united unapigwa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.
Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
Kabisaaa yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefungwa nyie dunyaz [emoji23][emoji23][emoji23]Naona Man City wanatumia vibaya zile Oil money zao kwa kununua waamuzi
Ndio man of the match aliyemaliza ile game
Kufungwa azam tabu unapata wee utopolo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wa mama tu hawa! Wamewavizia tu wachezaji wa Azam ambao wamenenepeana kwa kulishwa mapochopocho ya Bakhresa!!
Mbona wakicheza na wababe wao Yanga huwa hawafurukuti?
Simba na Man city zimesindikiza sikukuu ya mwaka mpya vizuriiii.Ila wewe