Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Mkuu.....Kama uliangalia mpira .....utakubaliana na Mimi......Kama hujaangalia basi nakuomba angalia marudio yake


Zinapigwa hadi pass 1000/sc

Utopolo,kwanza anzeni walau na kufunga goal moja tu kwenye michuano mikubwa,hata kama hamtashinda hiyo mechi ndiyo uje na hizi blah blah zako hapa
 
Ebu acheni utani jamani. Yaani unataka kusema man city hii ya pep ni sawa na utopolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] u on drugs mate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wamevurugwa hataree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.

Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona Man City wanatumia vibaya zile Oil money zao kwa kununua waamuzi

Ndio man of the match aliyemaliza ile game
Mmefungwa nyie dunyaz [emoji23][emoji23][emoji23]
Iache Man city kiboko yenu.
 
Watoto wa mama tu hawa! Wamewavizia tu wachezaji wa Azam ambao wamenenepeana kwa kulishwa mapochopocho ya Bakhresa!!

Mbona wakicheza na wababe wao Yanga huwa hawafurukuti?
Kufungwa azam tabu unapata wee utopolo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeeh sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…