Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Timu ambayo inaishia hatua ya awali!
Mechi ya kwanza inapigwa home ya pili inapigwa ugenini...inarudi matopeni mnaanza kuifananisha nanini?!

Nchi acheni utani bwanaaa
 
Unless mambo yabadilike i.e majeruhi, kubweteka, ugomvi, upigaji, etc lkn kama mambo yataendelea kua hivi na Prof Nabbi akakamilisha mipango yake [emoji817], inshallah Yanga anakua bingwa wa NBC PREMEAR LEAGUE 2021/2022
Kwa lile likikosi la YANGA ubingwa lazima .....vijana wanapiga pasi ...utafikiri wako wenyewe uwanjani
 
Utopolo,kwanza anzeni walau na kufunga goal moja tu kwenye michuano mikubwa,hata kama hamtashinda hiyo mechi ndiyo uje na hizi blah blah zako hapa
Takwimu za mnyama SIMBA hazidanganyi....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo pasi penyezi zilishindwa hata kushiit off target kwa Rivers! Uto huwa mnafikiriaga nini kabla ya kuanzisha mada hapa?
Kikosi kilikua bado hakijakaa sawa......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa ndiyo uto sasa ninaowajua
Nazani unaujua .....Moto wa kikosi cha YANGA.....pale mayere......feitoto......Dr Aucho......
 
Simba na Man city zimesindikiza sikukuu ya mwaka mpya vizuriiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi naona Simba ni Watford iliyochangamka .......Man City ni level ya WANANCHI. .....pia hata ukiangalia list ya timu zinazoongoza ligue duniani

Man City ......England

Bayern Munich.......bundesliga

Madrid ......, ..Laliga Santander

YANGA .............Tanzania

Elimu hii aihitaji ata kufika chuo kikuu . . Ili kujua haya mambo
ta
 
Timu ambayo inaishia hatua ya awali!
Mechi ya kwanza inapigwa home ya pili inapigwa ugenini...inarudi matopeni mnaanza kuifananisha nanini?!

Nchi acheni utani bwanaaa
Kumbuka Simba ndio timu imepigwa goli nying kweny klabu bingwa
 
Kombe la mapinduzi. .....ni mwanzo tu wa kuchukua vikombe.. tutaenda beyond ya hapo
Na bumbuli kashawaambia saivi hakuna kudharau mechi, watawekewa full mziki. Yaan ni mwendo wa mauaji. Akija Ndanda fc atawekewa full mziki apasuliwe mpaka mahakama itoe order kupiga stop 🛑.
Igefu ilkua ni salam tu walivyopelekewa moto mpaka makolo wakapoteana.

Dodoma kaingia kati kapewa kipondo, huyo biashara sijui alipona ponaje, ashkuru tu wakawahi kuoata goli ka sivo walkua wanakufa mkono.

Next round naskia makolo wamewatwisha mzigo Coastal na mapolisi kama kawaida yao. Ngoja tuone itakuaje.
 
Hawataamini kitakacho wakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…