Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Yanga na Dodoma Jiji? Kweli wewe shabiki si mwana michezo.
Mkuu........kuwadharau Dodoma jiji kuwa hawajui mpira ni Kuwadharau SIMBA kwamba wanakikosi dhaifu ......kwasababu .....Hawa Dodoma jiji ndio walio droo na SIMBA........so tuchunge kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…