zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Narudi kuendeleza list yangu, yan nna hasira na hao niliowataja sana!
ntakupata coz simo.mia
Dady tutayaongea nyumbani acha niendelee kufunguka kwanza... List inaendelea snowhite, Catherine, Nicas Mtei, Mr Rocky, gfsonwin, figganigga, CUTE, chardams, Smile, LiverpoolFC , wengine wajiongeze wenyewewe mtoto yaani unamchukia daddy na sister yako....tobaah!
Pita Lily Flower manake nna hasira !Napita tu maana sijaona chochote hata sweetlady sijamuona.
Nafunguka baunsa wangu, si unajua ukiwepo najiamini sanaFunguka funguka...baunsa nipo ulinzi 100%
zubedayoTuache unafiki wa kupeana sifa sifa wakati,unaempa Unamchukia.
Funguka Nani unaemchukia Humu Jf,mwaka ndo unayoyoma,ili tuwajue na tujuane then Msamaha upite.
Hata kama wanafika idadi ya First eleven funguka.
.
.
.
.
.
.
Usimung'unye funguka..
Dady tutayaongea nyumbani acha niendelee kufunguka kwanza... List inaendelea snowhite, Catherine, Nicas Mtei, Mr Rocky, gfsonwin, figganigga, CUTE, chardams, Smile, LiverpoolFC , wengine wajiongeze wenyewe