Dady tutayaongea nyumbani acha niendelee kufunguka kwanza... List inaendelea snowhite, Catherine, Nicas Mtei, Mr Rocky, gfsonwin, figganigga, CUTE, chardams, Smile, LiverpoolFC , wengine wajiongeze wenyewe
Hahaha leo sichezi nje Madame B !
Hili jukwaa hili,
Ndo maana wengine hata tumeshindwa kulizoea.....
Naona kuna watu wanaamua kufanya safari za masafa kwa gia ya rivasi!!
Haya bwana, dunia ni yako chaguo ni lako......
Mie pia namchukia Babu DC!!
Narudi kuendeleza list yangu, yan nna hasira na hao niliowataja sana!
si unajua noeli imekaribia?Kaka vipi tena waitu?
Watu wengine wana allergy na mashavu ujue.....
Au unataka tutandaze list of shem hapa kwa public??
Babu DC!!