.....""Tuache UNAFIKI""...Taja Mtu unaemchukia humu Jf....

Babarita unajua sweetlady ni mtoto wa geti kali, sasa leo nilikuwa na kideti naye, daddy na mummy wake wakamfungia ndani.. ana hasira...PANACHIMBIKA!
Tena mwambie na ukuta wetu umezungushiwa mitambo maalum ya kuzuia wezi afu tunafuga mbwa kama wale wa Mungi! Hata nikimkera tutakutana wapi na lini?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…