Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Mkuu usihangaike na mleta mada; huyu ndiye yule kijana uso wake unaonekana na amevaa safari buti za cream ambaye amlimshindwa kumvutia ndani mwathirika wa jaribio la utekaji.

Ni kawaida kwa askari kanzu kutumia njia rubuni zisizo halali kupitia kwa watu wanaofahamiana au kufanya biashara/kazi na mlengwa kumtumia kumpigia simu kwamba wakutane mahali fulani kwa mazungumzo ya maslahi yao. Huyu mtu anayetumika kuwasiliana na mlengwa mara nyingi hufanikisha zoezi la kukutana na mlengwa lakini hajitokezi hadharani.

Kwa mfano endapo kama namba ya simu iliyotumika kuwasiliana na mwathirika alias 'Bonge' ikichekeshwa kwenye GPS itaonekana bila shaka mtumiaji alikuwa na watekaji kwenye eneo la tukio ila ama alijibanza kwenye nyumba za jirani au ndani ya hiyo hoteli na akamlengesha mwenzie wapi akutane naye ambapo wazee wa kazi walifika mapema wakaegesha gari karibu na hoteli hiyo kwa mtindo wa undercover surveillance.

Wateja ama wakazi wanaozunguka hoteli hiyo inawezekana huwa sio mara yao ya kwanza kuona gari ikiwa imeegesha eneo waliposimama watekaji kwa hiyo hawakuona kama kulikuwa na shida wala kushuku.

Ili uwe na uwezo wa kushuku mtu, gari na kitu chochote kilichopo mahali fulani ni sharti ulinganishe na mwenendo wa hali inavyokuwa siku zingine. Lakini kwa mtaalamu yeyote wa mambo ya usalama kilikuwa chanzo kizuri sana kuona gari imesimama sehemu isiyo ya maegesho kwa muda bila kuona waliokuwa ndani ya gari wakishuka nje kuashiria wamefika au kukagua kama ilikuwa na matatizo ya kiufundi; hivyo kama hayo niliyoeleza hayakujionesha ni dhahiri waliokuwemo ndani ya gari ilitosha kuwashuku walikuwa ama na muadi na mtu wakimsuiria au walikuwakuwa wakimvizia mtu kwa maelekezo ya mtu anayefahamiana na mlengwa kwamba kwa wito aliowasiliana naye na jambo waliloahidiana kukutana kuzungumza asingeacha kufika kwa sababu ya maslahi ambayo huwa wanapata.

["...Strange Vehicles Parked Nearby. Look for vehicles parked in your vicinity for extended periods without a clear reason. Unexplained Noises or Technical Issues with Your Devices. Clicking sounds on your phone or frequent disruptions in your internet connection can be red flags...."]

Wale hawakuwa majambazi ni watu walionuia kumpata mlengwa kwa nia za ulaghai kwa hiyo kufanikisha hilo ni sharti walitumia mawasiliano ya mtu anayefahamiana na kuheshimiana naye kwa kumlazimisha au ahadi ya kitu fulani ili kufanikisha lengo.

Kwa hiyo wazo la kwamba mwathirika 'Bonge' alitaka kutekwa na mfabiashara mwenzie sio kweli.

Location ya simu iliyoongea naye na mtu aliyesajili laini hiyo ndio itaondoa utata wa nani alilengesha Bonge aje hapo hotelini. Kama biashara anayofanya Bonge ina makando kando ambayo huwa haihitaji kuambatana na mtu ili kutunza siri hapo ndipo kwenye kichaka hao watekaji kumtumia mdau mwenzie awasiliane naye aje wapi na wao wakawa wamefika mapema. Na ili ufanikishe windo lako ni lazima ufike mahali husika mapema kabla ya kitoweo kuletwa ili kuwa una uhakika ni nani wanamwendea kuliko kufika baada ya kitoweo kufika kwenye kisima cha kunywea maji ukijitokeza na yule uliyeahidinana naye kukutana humwoni ila watu wengine wageni kwenye sura ndio wanakusogelea bila shaka itazuka taharuki mapema kama sio kushindwa kukamata windo.

Wale watekaji hawakufanya utafiti wa kutosha mlengwa kwamba ana mwili wa kiwango gani maana watekaji ni wembamba na mmoja ni mfupi kabisa kiasi ambacho kama Bonge angeamua kipiga teke angerushwa huko kama panya.

WITO: Serikali na vyombo vya dola wasifanye mzaha kwenye matukio haya hizi ndizo ishara bayana za mwisho wa Tanzania. Pili polisi ijiepushe kuwa mdomo wa wanasiasa maana duniani kote wanasiasa ndio huwa chanzo kikuu cha amani kuvurugika baada ya wananchi kufika kiwango cha mwisho cha uvumilivu kuktokana na matendo ya kihalifu yasiyo na suluhisho
🙋‍♂️✍️🎯👌👍👏🤝👌💐🎖️🛡️
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Tuache uchunguzi ufanyike lakini tayari una majibu!
 
Angekuwa baba yako mdogo anafanyiwa vile naimani huu uharo ungeutolea chooni na sio kuja kujaza seva za melo bila sababu..............nashauri kabla ya kupost uzi inatakiwa upimwe mkojo.........inawezekana nyie ndio wale ambao mlitakiwa mmbaki kwenye condom sema bahati mbaya ilipasuka kwa utamu wa msuguo
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Polisi wakamataji wakaacha na pingu hivyo wakakimbia kurudi kituo Cha polisi kutafuta funguo za kuitoa.TRUMP kwa mwafrika yupo sahihi.
 
Hii nchi kama ina watu wenye akili kama yako itatuchukua zaidi ya miaka mia nane kuendelea
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Hamna njia nyengine ya kutumia kumkamata mtu zaidi ya Ile iliyotumika? Na kama walikuwa wanamkamata kihalali why walimwacha ? Kwa nini wasifunge mageti then na kumkamata kihalali ? Kwa nini wasije na defender ya police badala yake wanakuja na gari la kiraia?

We jamaa naona unataka kuonyesha kwamba police wanahusika kufanya vile? Daaah!!!
 
Wangekuwa wanamkamata mbona hata raia wangesaidia kukamatwa kwake.
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Uwe na Akili japo kidogo itakusaidia sana ndugu.Deo baada ya tukio lile ameenda polisi na akakabidhi ile pingu mbona hajawekwa kizuizini.Mleta mada ww hauna Akili.
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Ww ni pumbafool
 
Hicho kibali cha kumkamata ulikitoa wewe?
Ulitumia utaratibu wa kisheria kumkamata?
 
Alikuwa anakamatwa na nani? Tuanzie hapo kwanza, ukamataji unageuka kuwa utekwaji kama hauna vibali vya kukamata.
 
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.

Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.

Waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.

Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.

Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lakini Wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.

Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lakini haikuwa hivyo... hii inaonesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
WEWE NI MPUMBAVU
 
Back
Top Bottom