Eheeee!!? Yaani kukamata mwanadamu ndo kama nguruwe? Taratibu Za kukamatwa si zinajulikana mkuu ama we Ni kitoto cha chekechea?
Wajumbe Na balozi wake walikuwepo eneo la tukio, Je, walipewa taarifa? Kama sivyo, hao kwanini tusiwaite watekaji wa Raia?