Tuache ushabiki na unazi, benchi la ufundi Simba lijitathmini kabla mambo hayajaribika

Simba amechukua UBINGWA Bila KUFUNGA goli lolote.

Nimesikitishwa sana Na uchezaji WA Simba.

Nimekuwa nikilalamika Kila siku hapa Jukwaani kwamba Simba IMESAJILI HOVYO MNO.

Kukosa Kiungo WA MAANA Katikati No 6
Kutawagharimu mno.
NGOMA ANATAKIWA atafutiwe kiungo WA kucheza nae., HUYO kanute HAMNA KITU.
Leo ndio nime kuelewa.
 
Mtamlaumu bure kocha ila tatizo lipo kwa uongozi kusajili mawinga wengi wakati hawana viungo wenye uwezo. Mzamiru na Kanout hawana sifa ya kuchezea Simba, viungo hawana uwezo Wa kukaa na mpira wala kupiga pasi. Kuna mapungufu kwenye beki ya kati pia.
Nadhani umetumia mkwundu kufikiri😃
 
Dakika 180 hakuna goli
Kwa takwimu hizi kuna shida mahali
1691956675609.jpg
 
Leo tumeshinda kwa mikwaju ya penati lakini ukweli lazima usemwe, timu yetu haichezi mpira unaovutia, ni ukweli usiopingika kuwa kikosi chetu kina watu wa kazi hasa ambao wana uwezo wa kuleta mataji ya kila aina lakini mfumo anaoutumia Robertinho unaikosesha Simba mabao.

Hivi kweli Simba hii ni ya kucheza mechi 2 bila kufunga goli? Robertinho aaambiwe kama wachezaji hawana uwezo apendekeze, kwanini Kanoute apungue makali wakati tuna Abdallah Hamis?

Timu haichezi mchezo mzuri kabisa, mpira tumeelemewa na Yanga mwanzo mwisho Leo.
Huwa nachukia sana Mishabiki Mipumbavu kama Wewe na wale Waliokuamini kwa hii Hoja yako ya Kipumbavu.

Yaani hujui kuwa Shindano la Timu Nne ina maana kuwa hiyo ni hatua ya Nusu Fainali?

Hivi katika hatua ya Nusu Fainali muhimu ni Timu Kufunga Goli ndani ya dakika 90 au ni Kushinda kwa namna yoyote ile na Kuingia Fainali ili ibebe Ubingwa?

Kama Hoja yako ni Kuidhihaki Simba SC kwa kuwa Bingwa kwa Mikwaju ya Penati basi idhihaki pia na Argentina ya akina Messi kuwa Bingwa wa Kombe la Dunia kwa Kuwafunga akina Mbappe na Ufaransa yake.

Ushindi wa Penati ni wa Kikanuni FIFA hivyo Kuudhihaki na Kuwadhihaki pia Wanamichezo wote ndani na nje ya Tanzania.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali je, Simba SC leo ingefunga Goli ndani ya dakika 90 kama utakavyo kisha Yanga SC nao Wakafunga na kutulazimu kwenda katika Mikwaju ya Penati na Simba SC Kufungwa na Kuukosa huu Ubingwa ungefurahi na ungeridhika?

Kipaumbele Kikuu cha Simba SC kilikuwa ni Kumfunga Singida Big Stars FC kwa Ushindi wowote uwe wa Michezoni dakika 90 au wa Penati na kuingia katika Mikwaju ya Penati kisha tufike Fainali na tubebe Ubingwa wa Ngao ya Jamii na tubebe Ubingwa kama ambavyo tumebeba leo kwa Kuwafunga Yanga SC.
 
Umeandika UPUPU, timu kukosa magoli ni kawaida, ila kutengeneza hata nafasi za magoli katika game 2 sio kitu cha kawaida. Mtoa mada amekubali kuwa timu imechukua ngao ila uchezaji wake haupo sawa.

Wewe umeridhika na kiwango kile cha Simba?
 
Kiukweli timu Bora uwanjani in 90mins ilikuwa Yanga......Yanga wanakosa clinical finisher mzuri like Mayele......Ila pia wanapaswa kufanya kitu uwanja wa mazoezin kuhusu upigaji wa penalties....Simba Ni Kama kocha anajitafuta,hajui aanzeje game na Sina gani ya wachezaji Pamoja Ni mipangilio ya wachezaji.....Leo Ni dhahiri mipangilio ya wachezaji imeinufaisha zaidi Yanga huku Simba wakilazimika kusubiri nyuma muda mrefu au kutegemea longballs au kaunta attack.....Robertinho ana kazi kubwa ya kuirejesha Simba kwenye makali yake sababu wachezaji anao na alishakiri hivyo yy mwenyewe.....
 
Huwa nachukia sana Mishabiki Mipumbavu kama Wewe na wale Waliokuamini kwa hii Hoja yako ya Kipumbavu.

Yaani hujui kuwa Shindano la Timu Nne ina maana kuwa hiyo ni hatua ya Nusu Fainali?

Hivi katika hatua ya Nusu Fainali muhimu ni Timu Kufunga Goli ndani ya dakika 90 au ni Kushinda kwa namna yoyote ile na Kuingia Fainali ili ibebe Ubingwa?

Kama Hoja yako ni Kuidhihaki Simba SC kwa kuwa Bingwa kwa Mikwaju ya Penati basi idhihaki pia na Argentina ya akina Messi kuwa Bingwa wa Kombe la Dunia kwa Kuwafunga akina Mbappe na Ufaransa yake.

Ushindi wa Penati ni wa Kikanuni FIFA hivyo Kuudhihaki na Kuwadhihaki pia Wanamichezo wote ndani na nje ya Tanzania.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali je, Simba SC leo ingefunga Goli ndani ya dakika 90 kama utakavyo kisha Yanga SC nao Wakafunga na kutulazimu kwenda katika Mikwaju ya Penati na Simba SC Kufungwa na Kuukosa huu Ubingwa ungefurahi na ungeridhika?

Kipaumbele Kikuu cha Simba SC kilikuwa ni Kumfunga Singida Big Stars FC kwa Ushindi wowote uwe wa Michezoni dakika 90 au wa Penati na kuingia katika Mikwaju ya Penati kisha tufike Fainali na tubebe Ubingwa wa Ngao ya Jamii na tubebe Ubingwa kama ambavyo tumebeba leo kwa Kuwafunga Yanga SC.
Punguza ushabiki maandazi... Umeambiwa hamjachukua ubingwa?, Hoja ya mleta mada ni namna timu inavyocheza.... Hapa ukute na wewe unaona umeandika Jambo la maana kumbe upuuzi tu na kutokubali ukweli.... Timu inacheza Kama haikuwa kambi Uturuki😅😅
 
Huwa nachukia sana Mishabiki Mipumbavu kama Wewe na wale Waliokuamini kwa hii Hoja yako ya Kipumbavu.

Yaani hujui kuwa Shindano la Timu Nne ina maana kuwa hiyo ni hatua ya Nusu Fainali?

Hivi katika hatua ya Nusu Fainali muhimu ni Timu Kufunga Goli ndani ya dakika 90 au ni Kushinda kwa namna yoyote ile na Kuingia Fainali ili ibebe Ubingwa?

Kama Hoja yako ni Kuidhihaki Simba SC kwa kuwa Bingwa kwa Mikwaju ya Penati basi idhihaki pia na Argentina ya akina Messi kuwa Bingwa wa Kombe la Dunia kwa Kuwafunga akina Mbappe na Ufaransa yake.

Ushindi wa Penati ni wa Kikanuni FIFA hivyo Kuudhihaki na Kuwadhihaki pia Wanamichezo wote ndani na nje ya Tanzania.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali je, Simba SC leo ingefunga Goli ndani ya dakika 90 kama utakavyo kisha Yanga SC nao Wakafunga na kutulazimu kwenda katika Mikwaju ya Penati na Simba SC Kufungwa na Kuukosa huu Ubingwa ungefurahi na ungeridhika?

Kipaumbele Kikuu cha Simba SC kilikuwa ni Kumfunga Singida Big Stars FC kwa Ushindi wowote uwe wa Michezoni dakika 90 au wa Penati na kuingia katika Mikwaju ya Penati kisha tufike Fainali na tubebe Ubingwa wa Ngao ya Jamii na tubebe Ubingwa kama ambavyo tumebeba leo kwa Kuwafunga Yanga SC.
Upo emotional sana.........high emotions tends to remove intelligence........Mi naona mtoa mada kazungumz vizuri.....Yeye anakubali wazi Simba Ni bingwa na Wala hajabeza....Ila anaona uchezaji wa timu haupo sawa hasa upande wa utengenezaji na ufungaji wa magoli... Sasa wewe ungekuja na hoja ya kumuonesha namna gani Simba icheze vizuri na kutengeneza open play goals.....hapo tu Wala usiwe na mihemko
 
Binafsi naamini sana kwenye muda, kila kitu kinatakiwa kupewa muda, let us give him time and trust the process.
 
Back
Top Bottom