Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi. Possibility ya Simba kushinda ni sawa Taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine huku Ayubu fc Wana Baleke na Kibu (ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, Mwamnyeto, Job, Max na Yao (Ukuta wa Yericko)
NB: Mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli, inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
Sent using Jamii Forums mobile app