Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo halina ubishi, labda tuwaulize wenyewe mbumbumbu fc, wanajemaje?
 
Jambo kubwa ni kwamba Simba imetinga Robo Fainali ya michuano ya African Football League. Zaidi ya hapo ni bonus (kwa sauti ya Hersi) [emoji16]
Mumetinga robo fainali?
Kabla ya kutinga, mulizifunga timu zipi mukatinga hiyo robo fainali?

Amakweli Rage anastahili tuzo ya noble.
 
Mpira hauko hivyo ndio Maana wakaweka vigezo Fulani Yanga kufungwa na Ihefu ndio dhana yako ktk mizani haiwezekani Ila uhalisi ilitokea
Vigezo gani?
Kuna timu na mba 3, na namba 6 kwa ubora Africa, hazipo kwenye michuano hiyo...
Kwa mwaka huu hiyo sio michuano, ni bonanza tu.
Acheni kukomaza fuvu nyie mbumbumbu.
 
Umeisoma hapo Quarter Final? Baadae siku za usoni tusije tukaanza kubishana [emoji16]

View attachment 2781081
Kwenye ujenzi wa sanamu la rage, najitolea viroba 5 vya cement.
Hiyo historia watunzie wajukuu zako, sio kizazi hichi.

Kabla ya kucheza robo muliifunga timu gani mukaingia hiyo robo?
 
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi
Hii ni Al Ahly iliyocheza na Bayern Munich kwenye klabu bingwa ya dunia nusu fainali 08/02/2021. Hii kwangu mimi ndiyo ilikuwa timu bora sana .

Wote tulioangalia mechii hii watakumbuka mpira walioucheza jamaa! Tukasema Simba hachomoki! Wazee wa kamari wanakumbuka odds alizopewa Simba!


Kilichokuja kutokea wote ni mashahidi! Unatakiwa ufahamu kitu kimoja, timu nyingi za Waarabu ugenini hasa wakianzia huwa wanajilinda zaidi! Wydad, Al Ahly n.k mara nyingi ugenini hawashambulii sana! Utawaona siku hiyo!

Kama mchambuzi ungejitahidi uweke akiba ya maneno na usimalize yote, upe mpira heshima yake! Simba ni kubwa hasa inapocheza kwa Mkapa na timu nyingi zinajua jinsi inavyokuwa ngumu kupata matokeo kwa mkapa, siyo kuwa hayapatikani naamanisha ugumu wake!

Al Ahly iliyocheza nusu fainali ya klabu bingwa ya dunia! Halafu ikachezea kipigo kwa mkapa!


Mohamed El-Shenawy

30
Mohamed Hany

13
Badr Benoun

12
Ayman Ashraf

21
Ali Maâloul

8
Hamdi Fathi

17
Amr El Soleya


27
Taher Mohamed


19
Afsha


14
Hussein El Shahat


7
Kahraba

SUBSTITUTES​


10
83'
Mohamed Sherif
for Taher Mohamed


15
70'
Aliou Dieng
for Afsha


18
70'
Salah Mohsen
for Hussein El Shahat


26
70'
Walter Bwalya
for Kahraba
 
Watapigwa kama ngoma.
 
Hakika unajua mpira mkuu.....
 
Umeandika kwa kutumia akili za kichwani au za MAKALIO??tuanze na hilo kwanza
 
Simba wanaahinda hii mechi
Labda kushinda njaa hiyo Simba wanaweza ila kuifunga Al Ahly tena ni mechi mbili tu za mtoano hilo nasema hapana!

Nawaasa wanayanga tukajaze uwanja wa Mkapa kushuhudia kichapo Cha Simba Ili usemi wa kwenye msafara wa Mamba na kenge pia wamo utimie! Tutaenjoy sana siku hiyo Mnyama akikandwa kwao na kelele kutulia mjini!

CAF ni watu wabad sana kuitumia Simba kama ngazi ya kuipandisha Al Ahly kisoka na kipesa. Wanajua wangeipa Yanga nafasi ingekuwa battle kamili Maana kina Mudathir sio kinyonge wangeikalisha Al Ahly chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…