Tuache utani, usione mwenzako ana six packs ukadhani kaziokota barabarani

Mkuu ni kama umeingia akilini mwangu hii kauli me huisema mara kwa mara, niliacha nimeanza tena yaani ni mateso ya kujitakia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipe maujanja unafanyaje kiongozi na wapi unakwama.
 
Hakuna kitu kama "mazoezi ya kupunguza tumbo" hii ni myth.
Ukizifanyisha kazi muscle za tumbo haina maana kuwa utapungua mafuta sehemu ye tumbo hii myth inajulikana kama spot reduction unaweza kusoma zaidi hapa Spot reduction - Wikipedia, the free encyclopedia.

Kwa kifupi kama utakuwa unatumia calories nyingi kulizo unazokula utapungua uzito, ila huo uzito utapungua sehemu gani ya mwili itategemea na genetics zako zaidi. Ndo maana wanasema "six-packs are made in the kitchen", angalia diet yako kuliko mazoezi.

Ila mazoezi ni mazuri kwa afya yako kwa ujumla.
 
Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.

Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Kitambi ni uzembe kwa kutokwenda maliwatoni tu ...

Mi nafurahia mwili wangu kwa kuwa unaniruhusu kujichanganya popote pale ..wenye age kama mimi nakuwa nao japo wao wana vitambi mi niko normal, wadogo zangu nakuwa nao pia wakidhani tunalingana kisa mwili kama wa kwao.

Kula kwa mpango ndo deal mmjini, sio kitambi
 
Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.

Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Heshima pesa,
Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.

Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Heshima pesa kitambi maradhi, wacheki kina Gates, Obama, Zuckenberg, Kagame nk. kwani hawaheshimiki?
 
Kitambi noma sana nilianza zoez week kazaa ila nimeacha tena huu uvivu tuu ntaanza tena kuamsha ila natafuta kampan tu ya zoez mkiwa wa2,3 hiv inasaport sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…