Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi chukuwa dawa yangu....Mie ndi ugonjwa wangu huo
Ha ha ha eti kama kichuguuKitambi ni ugonjwa mkuu, mwanaume ukiwa na kitambi unakua shapeless, mbaya zaidi uwe mfupi unakua kama kichuguu.
Hutakaa upungue ha ha haMkuu ni kama umeingia akilini mwangu hii kauli me huisema mara kwa mara, niliacha nimeanza tena yaani ni mateso ya kujitakia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipe maujanja unafanyaje kiongozi na wapi unakwama.Mkuu ni kama umeingia akilini mwangu hii kauli me huisema mara kwa mara, niliacha nimeanza tena yaani ni mateso ya kujitakia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nipe maarifa kuhusu dayati na mazoezi.
Ingia YouTube leo ikifika sa sita usiku ucheki, zoezi lolote la six pacs lazima UIPATE FRESHNipe maujanja unafanyaje kiongozi na wapi unakwama.
Sina kitambi mkuu, tena zinakuja faster shida tu huo upatikanaji wakeHutakaa upungue ha ha ha
Bila kukubabisha... kila siku ya Mungu kula hii chini... (achana na mloo taka/papukio)Mkuu nipe maarifa kuhusu dayati na mazoezi.
Sawa mkuu jitahidiSina kitambi mkuu, tena zinakuja faster shida tu huo upatikanaji wake
Kitambi ni uzembe kwa kutokwenda maliwatoni tu ...Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.
Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Sawa ntaomba uje unikagueSawa mkuu jitahidi
Heshima pesa,Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.
Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Heshima pesa kitambi maradhi, wacheki kina Gates, Obama, Zuckenberg, Kagame nk. kwani hawaheshimiki?Aisee kwa jinsi nilivyo kimbau mbau natamani kuwa na kitambi balaa, labda dharau hapa mjini kwa sababu ya haka ka mwili zitapungua.
Kitambi kinaleta heshima sana mjini hapa
Duh!Siku hizi kuna shortcut![]()