Tuache utani, usione mwenzako ana six packs ukadhani kaziokota barabarani

Ili usikate tamaa uwe unatuletea ripoti ya tizi na maendeleo yako...
 
dah umenichekesha san mkuu
.....seven pack yaan umbo kama la nyoka halina mbele wala nyuma...
 
With that attitude kufikia lengo Ni ngumu, watch your site and do appropriate mazoezi, yani umefanya week 2 tu umeanza lalamika?


 
Ila nyama choma si protein jamani...dah kuacha pombe ndo ngumu
 
...wa kishua bhana!...mtiti wa life la kibongo mazoezi tosha!
....haya ndizi nyama endeleeni kujadili!
 
6 packs za nini?,au ndo bi mdada anataka sexy bodeeeeeee [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…