hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
ndo hivyo[emoji239]Khee makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo hivyo[emoji239]Khee makubwa
NDIYOKuna six pac natural?
dah umenichekesha san mkuumkuu diet ndo kitu cha muhimu kabisa katika kujenga six pack,usipozingatia diet utajikuta mwisho wa siku kidume umevimba makalio au hipsi kama unajijua unashindia big g na maji bora ukaachana na hiyo kitu ya kutaka six pack mwisho wa siku unakosa hizo six pack unapata seven pack yaan umbo kama la nyoka halina mbele wala nyuma...
Wakuu habari ya muda huu,
Kusema kweli nieape tu pongezi wote wenye six packs au flat belly kwa jitihada zao.Usione mtu ana six packs ukamchukulia poa ukadhani zinaokotwa ti barabarani au zinapatikana kwa urahisi.
Nimeanza mazoezi hii wiki ya pili mazoezi ya kipunguza tumbo baada ya kuona linaanza dalili za ukitambi ukitambi, aisee asikwambie mtu hapa natamani hata kuacha mazoezi, misuli yote ya tumbo inauma vibaya sana.
Kwa kweli heshima kwenu wenye six packs, kupata six packs au tumbo flat hasa kama una kitambi sio kazi lele mama, unahitaji kujitoa dhabihu(sacrifice).
Wakuu nitakieni heri nisike ishia njiani na haya mazoezi + kutokula.
Niinbox namba yako tafadhali maana ntakutafta muda sio mrefu.Ukifanikiwa kuzipata six packs unitafute
Mkuu mazoez n magumu sana kakaWith that attitude kufikia lengo Ni ngumu, watch your site and do appropriate mazoezi, yani umefanya week 2 tu umeanza lalamika?
Ila nyama choma si protein jamani...dah kuacha pombe ndo ngumuHongera Sana mkubwa. Ilinichukua miezi sita ku fikia Hatua hii.
Ningependa ku sisitiza uwe na diet plan. Sababu Kama unafanya mazoezi na kuendelea na nyama choma bia uta strangle tu na labda usitoe Hata hicho kitambi.
Kingine ule vyakula vyenye protein Sana. Mi nilikuwa kilo 70 sasa kilo 57.
Nadhani mwanamke au mwanaume anapendeza bila kitambi . Na kitambi ni ugonjwa.