Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe.
Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5.
Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana.
Match itaisha hivi nina uhakika yanga kuaibika .
YANGA-4
SIMBA-0.
HAKIKA YANGA TUTATESEKA SIKU HIYO SIMBA ITAPEWA KOMBE LA SANDA.