Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ngumu sababu ya simba kukamia ila.kwa yanga ni game nyepesiGame ngumu hiyo japo washindani wa Yanga sio Simba
Chief yaani kabisa simba watoke kifua mbele? Aaah wapi andaa na kinywaji pendwa kabisa simba wanakufaMimi nitafurahi tu simba akifungwa.
Ntarudi hapa.Chief yaani kabisa simba watoke kifua mbele? Aaah wapi andaa na kinywaji pendwa kabisa simba wanakufa
Acha dharau,uwezekano wa Simba kushinda ni mkubwa sana.gemu ni hamsini kwa hamsiniChief yaani kabisa simba watoke kifua mbele? Aaah wapi andaa na kinywaji pendwa kabisa simba wanakufa
HAPA MNYONGE ANAPGWA MPIRA USHAHAMA UKO KWENYE MAMBO YA NJE YA UWANJAA
Acha dharau,uwezekano wa Simba kushinda ni mkubwa sana.gemu ni hamsini kwa hamsini
Amka utajinyea wewe kumekucha .Game itakuwa ngumu sana.
Naipa Ushindi Simba.
Ukiangalia game ya kwanza Ngao ya Jamii,
Utaona jinsi wale vijana wa Simba pamoja na ugeni wao ila walijituma na kuelewana,
So this time itakuwa mara 2 ya ile.
Pia ukiangalia ile game ya 5-0,
Diarra alimuumiza Kibu makusudi na ndio tatizo lilianzia pale,
Inonga alikuwa amehongwa , pale katkat palikuwa panapitika kirahisi mno,
Chama alikuwa amehongwa na alicheza chin ya kiwango.
Manula hakucheza miez 5 alaf anakuja kudaka Derby.
Mchezaj Pekee ni Kibu D na ndio walimuumiza makusudi.
Wachezaj wa Simba wa sasa wameimarika ,
Ateba, Ahoua , fernandes, Kagoma, Camara, Kibu D.
Yanga, wa kumuogopa na Max Nzegeli na Mudadhir . Wengne bado hawajajipata.
Simba 3-1 Yanga
Amka utajinyea wewe kumekucha .
Oya jamani sie maskini tunataka kuweka vijisenti vyetu...je goal goal itatoa?
Mpe Yanga na goli 3Oya jamani sie maskini tunataka kuweka vijisenti vyetu...je goal goal itatoa?
Tazama pembeni yako mbona unatupita ukiwa unaongea peke yako?ina mana umechanganyikiwa? kesho wallah utazimia.Game itakuwa ngumu sana.