sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k
Kwa sasa kwanza niseme tu kijana kajipa mzigo mkubwa kwa hulka nazoweza kusema za kuonyesha watu kwamba anaweza zaidi ya zamani ila kiukweli ndo anaelekea shimoni.
Naona nyimbo zimejikita zaidi kwa lengo la visasi na ngono kwa asilimia kubwa, ngoma kama hujanikomoa ama bedroom zimeangukia maudhui hayo na ukisikiliza bedroom remix ndio kabisa ni ngono bila mafumbo hata mtoto anaelewa.
Pia kitendo cha kumsaini tu msanii kakifanya katika mda usio sahihi, maana ni vyema unaposaini wasanii basi angalau uwe umeshajijenga mno kama kina Diamond, lady jay dee au Ali kiba na pia uwaachie nafasi hao wasanii unapowatambulisha wao ndo wafyatue ngoma huku wewe umetulia