Sana.
Kutafuta riziki si vita ndugu,,maana haigombaniwi, ni mafungu kila mja ana lake,kwa kadri mungu atakavyo, kutafuta ni sababu tu,ambayo anatutaka tufanye.VITA NI BIASHARA.
UNAPOTOKA NYUMBANI KWAKO KWENDA KUTAFUTA RIZKI NAYO NI VITA
bado haujakuwaKutafuta riziki si vita ndugu,,maana haigombaniwi, ni mafungu kila mja ana lake,kwa kadri mungu atakavyo, kutafuta ni sababu tu,ambayo anatutaka tufanye.
Ambayo tunaambiwa ndio New world Order."Ili mmoja ashibe lazima mwengine aumie."
Hii ndo system ambayo dunia inarun.
Ukiangalia nchi zote zilizoshiba yaani zilizoendelea zote zilipitia vita at some point kwenye maendeleo yake.
China ilipigana na Japan, South Korea, Uingereza na mataifa mengine mengi mpaka tunaiona China ya leo.
Vivyo hivyo Marekani imeshapigana na Mexico, Vietnam na Uingereza na mataifa mengine kama Urusi hadi ikawa Superpower.
Kwahiyo namna pekee ya kuzuia vita zisitokee ni kufanya dunia iwe nchi moja.