Tuacheni masihara kagere na chama wanaweza kufanya hivi?

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Si watavunjika nyonga haswa yule kagere.Leo Mrisho Ngasa kafanya showboat ya hatari.
 
We ni mpumbafu na mjinga sana. Ulifikiria kwa kutumia nn kuandika hivi? We ni zwazwa la kimataifa.
 
Sasa nikujibu kutokana na uzwazwa wako.

Kagere kaitwa timu ya taifa
Chama kaitwa timu ya taifa
Anko ngasa vp kaitwa?.. Nakuhakikishia hata timu ya taifa kwa sasa kocha akaita wachezaji kwa vikosi 4 ngasa hawezi kuitwa.

Zwazwa mkubwa wee
 
Ukipenda chongo utaliita kengeza.
 
Sasa nikujibu kutokana na uzwazwa wako.

Kagere kaitwa timu ya taifa
Chama kaitwa timu ya taifa
Anko ngasa vp kaitwa?.. Nakuhakikishia hata timu ya taifa kwa sasa kocha akaita wachezaji kwa vikosi 4 ngasa hawezi kuitwa.

Zwazwa mkubwa wee
Ngasa alistaafu Taifa stars..yeye ndiye mwenye magoli mengi zaid toka Tanzania iumbwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…