Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa......!!!Vibe Kama Lote.
Si watavunjika nyonga haswa yule kagere.Leo Mrisho Ngasa kafanya showboat ya hatari.View attachment 943060
Ngasa alistaafu Taifa stars..yeye ndiye mwenye magoli mengi zaid toka Tanzania iumbweSasa nikujibu kutokana na uzwazwa wako.
Kagere kaitwa timu ya taifa
Chama kaitwa timu ya taifa
Anko ngasa vp kaitwa?.. Nakuhakikishia hata timu ya taifa kwa sasa kocha akaita wachezaji kwa vikosi 4 ngasa hawezi kuitwa.
Zwazwa mkubwa wee