Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

Kwa hiyo walokuwepo muktadha wa siku husika wote walivaa vile?..au yy ndo alikuwa kaguswa zaidi na MUKTADHA HUSIKA...usiue hoja kwa kutuambia anatengeneza pesa so hata siku akipiga picha uchi tusiseme coz anatengeneza pesa?..ni ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni artist na anachofanya ndio maisha ya kisanii yalivyo... sioni jipya,uzuri wala ubaya wa kuvaa hivyo.... waswahili bhnaa,tuna tabu sana [emoji124][emoji124][emoji124]
Wakifanyaga wengine MJIKAZE BASI...siyo wakifanya wengine midomo juu akifanya domo mnafosi ionekane poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…