Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu.
Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila mchezaji anacheza lwake na wachezaji wenyewe ni kama wameokotwa Temeke, Mbagala na Buguruni hamna kitu pale.
Labda ingekuwa Yanga ndo tungesema match inaweza leta matokeo yoyote. SIMBA NI KUFUNGWA TU HAMNA JINGINE.