Tuacheni Ujinga. Simba haijawahi hata kutoa Draw nchini Algeria. Leo Itachapwa kama Mbwa koko

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu.

Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila mchezaji anacheza lwake na wachezaji wenyewe ni kama wameokotwa Temeke, Mbagala na Buguruni hamna kitu pale.

Labda ingekuwa Yanga ndo tungesema match inaweza leta matokeo yoyote. SIMBA NI KUFUNGWA TU HAMNA JINGINE.
 
Kikombe cha kahawa lakini wanaenyeshwa sasa wangekuwa kombe la wanaume si ingekuwa aibu
 
Wamecheza vizuri,ubaya walishindwa kuhimili dk 15 za kipindi cha pili.Wangetoboa pale walikuwa wanashinda au kudraw.
 
Hizo ndio zile habari za kufa kiume kufungwa ni kufungwa tu,,na ili goli lipatikane ni mpaka makosa yatokee ni sawa na yanga pia walifanya makosa kipindi cha pili wakaadhibiwa!
 
Wamecheza vizuri,ubaya walishindwa kuhimili dk 15 za kipindi cha pili.Wangetoboa pale walikuwa wanashinda au kudraw.
Tuache kujidanfanya Simba hii bado sana.
Chama anahitajika,Morrison anahitajika mtu asiniambie wachezaji kama Morrison ni wengi nitamwona kama taahira
 
Kwa hio Chama arudishwe na Morrison arudishwe?
 
Tuache kujidanfanya Simba hii bado sana.
Chama anahitajika,Morrison anahitajika mtu asiniambie wachezaji kama Morrison ni wengi nitamwona kama taahira
Kweli bado ila goli lile la kuongoza liliwapa kujiamini, sana mpaka half time. Zile dk 15 za kipindi cha pili hawa kujipanga vizuri.
 
Back
Top Bottom