🚨 Tuacheni utani Aisee hii kitu ni hatari

Kuna watu wanaroho ya chuki sana. Wanatakiwa wajue tu huwezi kumlaani aliyebarikiwa. JPM mpakwa mafuta wa Bwana.
Hii ni shida ya kutojua lipi la kusema hadharani na lipi la chumbani. Sio rahisi kufanya vyote kwa mara moja. Anyway ndio binadamu.
 
majirani wa 254 na wazungushamikono hawataki kabisa kuona haya mambo
 
Na wale MAJIRAN zetu wenye GARI MOSHI wamesema wanataka kuona japo mita moja tu ya reli ya SGR mwezi WA tisa sio mbali wataziona za kutosha dadeki Ndio wajue hatucheki na pakashume
 
Maendeleo ni mazuri, naipongeza Serikali hususani Mheshimiwa Rais kwa kuamua kujilipu kwenye mradi huu wa gharama. Nampongeza Rais pia kwa kuwachinjia baharini wachina kwenye mradi huu ambao inaonekana walipanga kutupiga cha juu kwa walivowapiga wakenya kwenye mradi kama huu. Viva JPM viva Serikali kwenye suala hili la ujenzi wa reli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…