Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?? Huyu anaepiga risasi wapinzani?Kuna watu wanaroho ya chuki sana. Wanatakiwa wajue tu huwezi kumlaani aliyebarikiwa. JPM mpakwa mafuta wa Bwana.
Hii ni shida ya kutojua lipi la kusema hadharani na lipi la chumbani. Sio rahisi kufanya vyote kwa mara moja. Anyway ndio binadamu.Kuna watu wanaroho ya chuki sana. Wanatakiwa wajue tu huwezi kumlaani aliyebarikiwa. JPM mpakwa mafuta wa Bwana.
Kama walivyolitelekeza jengo lao la makao makuu pale ufipa.Wamezoea business as usual. Kusiwepo na kitu chochote kinachofanyika.
Kampiga mama yako risasi!?Yupi?? Huyu anaepiga risasi wapinzani?
Acha kumchezea Mungu ndugu.
Hajampiga mama yangu risasi..Kampiga mama yako risasi!?
Wapi ushahidi? Na simuende kortini na ushuhuda wenu sio kupiga porojo kwa mitandaoHajampiga mama yangu risasi..
Kampiga risasi Tundu Lissu.
Umefufuka? Hasira zimekuisha?Hongera Magufuli, Hongera Watanzania.
Reli hii tutaitumia sote.
Eti chadomo wameisusia dreamliner?
hihihihihi. duhUmefufuka? Hasira zimekuisha?
Wakijani wamenasa.😀😀😀😀😀Duh! Kwenye hii picha naona watu wa kijani, ina maana hata CCM wanaisoma namba mbele kwa mbele, kale kawimbo kao.
Maendeleo hayaletwi na maneno huletwa na kama haya uyaonayo.Umefufuka? Hasira zimekuisha?
sana