Tuacheni utani, Gaza imechakazwa

Hayajatimia. Galat waziri wa ulinzi wa israel alikuwa na nia ya kuimaliza kabisa Hamas. Kumbe hamas ipo kwenye miyoyo ya watu.
Hivyo ili malengo yatimie ni lazima kuuwa watu wate wa gaza.. kitu ambacho hakwezekani
Je malengo ya Hammas kuivamia Israel yametimia?
 
Kwa hiyo kushinda vita ni kubomoa majengo na kushindisha watu njaa!?
Vita ni malengo wewe.
Malengo ya Israel yalikua kuitokomeza Hamas na kuokoa mateka.
Je yametimia?
Je malengo ya Hammas kuivamia Israel yametimia?
 
Je malengo ya Hammas kuivamia Israel yametimia?
Hamas hawakueleza malengo yao hasa.
Japo moja ya malengo yao ni kukomboa wafungwa wa Kipalestina na kuvunja utawala wa Israel Gaza.
 
Hamas hawakueleza malengo yao hasa.
Japo moja ya malengo yao ni kukomboa wafungwa wa Kipalestina na kuvunja utawala wa Israel Gaza.
Sawa je haya malengo uliyotaja hapa yametimia?
 
Hayajatimia. Galat waziri wa ulinzi wa israel alikuwa na nia ya kuimaliza kabisa Hamas. Kumbe hamas ipo kwenye miyoyo ya watu.
Hivyo ili malengo yatimie ni lazima kuuwa watu wate wa gaza.. kitu ambacho hakwezekani
Mkiambiwa wavaa makobazi hawanaga akil mwelewee sasa ona hili bwabwa, yaan nchi imeisha imekuwa majivu unasema bado malengo hayajafikia..itawachukua miaka 200 kuijenga Palestina mpya
 
Kwa hiyo kushinda vita ni kubomoa majengo na kushindisha watu njaa!?
Vita ni malengo wewe.
Malengo ya Israel yalikua kuitokomeza Hamas na kuokoa mateka.
Je yametimia?
Haya basi tukukubalie hamas wameshinda vita kwa kuwaficha mateka hawajapatikana na wanajeshi waisrael wameuawa hadi wameisha
 
Haya basi tukukubalie hamas wameshinda vita kwa kuwaficha mateka hawajapatikana na wanajeshi waisrael wameuawa hadi wameisha
Hilo umesema wewe sio mimi.
Kiuhalisia sio Hamas wala Israel waliofikia lengo.
 
Hamasi wa buza wanasema Yahudi Anapigwa sana na ameshindwa vitaπŸ™„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sasa kama myahudi amepigwa sana mbona mpalestina analia sana kutafuta dunia imone huruma wanateseka na njaa na mauaji kimbari
 
Hiyo situation inahamia Lebanon swala la muda tu
 
Hiyo situation inahamia Lebanon swala la muda tu
Hata mimi nimeliona hilo. Kwa mujibu wa aljazeera jana hizbollah wamerusha zaidi ya makombora na drone 200 wakilenga kambi za jeshi na target nyingine.
Natamani watu wa lebanon ambao wapo karibu na mipaka na israel waanze kuondoka.
Mji utakao adhirika zaidi utakuwa ni Qana. Nilimsikia mama m1 akisema hawawezi kuondoka kwenye huo mji na wapo tayati kufia hapo.

Tuombe hili lisitokeee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…