stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Israel inafaidika in long term kuua watoto na wanawake wengi wa kipalestinaMalengo ya Israel yaliyo wapeleka Gaza yametimia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel inafaidika in long term kuua watoto na wanawake wengi wa kipalestinaMalengo ya Israel yaliyo wapeleka Gaza yametimia ?
Israel nao kuna madhara wamepata kama yafuatayo;Ningetamani israel nao waonje hata ¼ ya machungu waliyopitia wapalestina. Sema ndio hivyo, hamna namna.
Unaropoka sana,ndio umeongea nini hapo!?Hamas oktaba 7 mafanikio yao ilikuwa uharibifu na ndio maana kulikuwa na ringtone kibao za allah akbar na Israel nae kajibu kwa uharibifu ambao kimzani kafanikiwa kuliko kobazi,au nyie ni kama mjusi kwamba akikatwa mkia safari inaendelea?!!
Tuambie inafaidika kivipi?Israel inafaidika in long term kuua watoto na wanawake wengi wa kipalestina
Watoto hawakui wanakufa mapema, wanawake hawazi kizazi kijacho.Tuambie inafaidika kivipi?
Ona huyu anaongea nini!?Watoto hawakui wanakufa mapema, wanawake hawazi kizazi kijacho.
So wanaobaki wanakimbia nje ya nchi kutafuta Asylum.
Hadi sasa waliondoka Gaza ni Watu zaidi laki.
Do you know why Jordan and Egpty hawataki wakimbizi wa Gaza?, they want to have Palestinian heritage pale for as long as it takes.
Do you know why Israel ina ishi vizuri na Wapalestina wa Judea and Sumeria? Because they can assimilate into Israel community Hadi wapo wanaobadili Uraia na kuwa Waisrael ( Mfano Dada wa Ismail Haniya, kiongozi wa Hamas yeye ni Mwarabu wa Israeli na ana(alikuwa)ishi Nazareth).
Kabla ya vita kulikuwa na Wapalestina karibu million 2 wanaishi Gaza now kati yao karibu 1.7M wanaishi kwenye Mahema... This is very bad to Hamas politically sababu hakuna mtu ambaye anapenda kuishi Maisha ya mateso kama ya Watu wa Gaza huku viongozi wakiwa nje ya nchi na kwenye mashimo kama panya.
Iran ananguvu kuliko Hamas na ndiye anayewapa Silaha Hamas, Hezbollah and others but why can not blindly start a war with Israel?, because it will be a risk move kwake and a reason for Israel to get more territories in Syria and Lebanon.
Hamas wanawaonea Watu wa Gaza, they should have lived like Dubai
Je malengo ya hamas yametimia kama sio kuleta uharibifu na mauaji kwa wagazaMalengo ya Israel yaliyo wapeleka Gaza yametimia ?
Una shida ya kufikiriOna huyu anaongea nini!?
Hakuna kunufaika lolote,waliouawa na waliobaki bado wengi sana.
Hivi unajua kuna WaGaza ambao wako nje kikazi na hawajarudi Gaza!?
Hivi unajua watarudi ili kuijenga Gaza na kuendeleza Gaza!?
Katika hao milioni 1.7 hivi unajua kuna vijana wakike na wakiume ambao watakua na kuongeza uzao hapo Gaza!?
Hivi unajua kuna wanaGaza Occupied West bank ambao wanasubiri hali Gaza iwe shwari warudi!?
Nani kakwambia Iran anaogopa kuanzisha vita na Israel!?
Nani kakwambia Israel ikianzishiwa vita na Iran itakua msala wa Lebanon na Syria kwasababu maeneo yao yatachukuliwa!?
Kwa jeshi lipi la Israel linaweza kufanya hivyo!?
Jeshi ambalo limepungukiwa nguvu kazi kiasi wanalazimisha raia kuingia vitani?
Jeshi ambalo lina askari 12000 walemavu wa kudumu,ambao wamepatikana katika vita dhaifu ya Israel vs Hamas!?
Lebanon kuna Hizbollah,kundi ambalo liliipiga Israel na kuipokonya BINT JUBEIR kusini mwa Lebanon.
Kundi ambalo liliweka mgomo wa mipaka ya bahari iliyodaiwa kuwa ya Israel kutokutumiwa mpaka mwaka huu wakakubaliana kugawana hiyo mipaka.
Kundi ambalo limeharibu makazi ya raia zaidi ya laki mbili kaskazini kwa Israel na kuua zaidi ya IDF 500 kwa border fire exchange.
Huko Syria jiulize kwanini Israel haendi hovyo!?
Huko kuna jeshi la IRGC limeweka kambi,akithubutu kwenda atakutana na jeshi la IRAN kama IRAN sio proxy wake.Na hachomoki jino moja.
Israel hana ubavu wa kupigana na jeshi la IRAN akachomoka,jeshi ambalo limepigana vita ya miaka 8 non stop ikichangiwa na mataifa matatu na ikashinda,tena mataifa kamili Iraq,France,USA.
Hakuna faida Israel inapata kwa kuua raia Gaza,na hii haikua mara kwanza,2021 imefanyika na Gaza ilijengwa watu wakazaliana.
Nadharia mfu hizi ulizonazo.
Ushaishiwa hoja.Una shida ya kufikiri
Yapo yaliyotimia.Je malengo ya hamas yametimia kama sio kuleta uharibifu na mauaji kwa wagaza
Hii vita huwa nikiifikiria sana nashindwa elewa nini hasa ndio chanzo cha haya yanayoendelea leo huku mashariki ya kati. Kweli Hamasi waliwavamia Wayahudi na kufanya kama yaliyoshuhudiwa siku hiyo Octoba 7, watu wakatekwa na wengine kuuwawa, Myahudi akaanzisha kitu ambacho aliapa kuwa kitu anachofanya kitakumbukwa miaka 50 ijayo na kweli kimeonekana kuwa miaka 50 ijayo kitakumbukwa.Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana.
1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na kuendelea kuwa shikilia ni kuendelea kujiweka katika mazingira hatarishi ya kushambuliwa na hata kusababisha vifo.
2. Israel imeuwa maelfu ya watu wa palestina wengi wakiwa ni watoto na wamama. Kuna sababu gani ya kuendelea kushikilia watu wa4? wamalize kazi angalao kuongeza hasara kwa israel.
3. Mji wa Gaza kwa sasa umekuwa magofu baada ya israel kubomoa 95% ya majengo yote yaliyopo kule gaza. Hii inanikumbusha mji wa Aleppo uliopo kule syria ulivyoaribiwa na majeshi ya serekali wakati wakipambana na makundi ya kigaidi ya isis.
3. Mji wa Gaza umechakazwa vibaya mno. Itachukuwa muda mrefu sana kuja kuujenga tena.
Hata israel yapo malengo yaliyotimia kama kulipa kisasi , kuigeuza gaza magofu na baadhi ya mateka wachache wameokolewa piaYapo yaliyotimia.
Malengo yao ilikua kuifuta Hamas na kurudisha mateka.Hata israel yapo malengo yaliyotimia kama kulipa kisasi , kuigeuza gaza magofu na baadhi ya mateka wachache wameokolewa pia
Maombi yako naomba niyaforward yawapate CCM 🙂Ningetamani israel nao waonje hata ¼ ya machungu waliyopitia wapalestina. Sema ndio hivyo, hamna namna.
Kwenye mzozo huo, kati ya Israeli na Gaza, nani alikuwa na malengo mhimu kwa mwenzake?Miez zaidi ya 9 sasa israel ametumia zaid ya mabilion ya dollar lakn hakuna alichofanikiwa zaid ya kuua watoto, hadi sasa kwaio zaid ya mateka 100 ndo wamefanikiwa kuwaokoa wanne
Wameokolewa mateka 6 na wamelipa kisasi cha october 7 kwa kuibomoa bomoa gazaMalengo yao ilikua kuifuta Hamas na kurudisha mateka.
Kipi kimetimia?
Hii ni akili ya madrasa. Yaani watu hawana chakula, maji wala makazi unasema Israel hawajafanikiwa? Ndio maana mnakufa mnapoenda makka mnakufa kama kuku wa kideli kwa joto kali ambalo ingekuwa kweli mnaabudu mungu angekuwa anawaletea wingu ili kupunguza joto.Miez zaidi ya 9 sasa israel ametumia zaid ya mabilion ya dollar lakn hakuna alichofanikiwa zaid ya kuua watoto, hadi sasa kwaio zaid ya mateka 100 ndo wamefanikiwa kuwaokoa wanne
Kwani vita imeisha? Vita inaendelea na imepangwa kufanyika muda mrefu. Sasa subiri tuone hiyo palestina imara yenye kizaziMalengo yao ilikua kuifuta Hamas na kurudisha mateka.
Kipi kimetimia?
Kwa hiyo kushinda vita ni kubomoa majengo na kushindisha watu njaa!?Hii ni akili ya madrasa. Yaani watu hawana chakula, maji wala makazi unasema Israel hawajafanikiwa? Ndio maana mnakufa mnapoenda makka mnakufa kama kuku wa kideli kwa joto kali ambalo ingekuwa kweli mnaabudu mungu angekuwa anawaletea wingu ili kupunguza joto.
Unajua Israel kuwa ina uhaba wa wanajeshi sasa hivi!?Kwani vita imeisha? Vita inaendelea na imepangwa kufanyika muda mrefu. Sasa subiri tuone hiyo palestina imara yenye kizazi