Tuacheni wimbo wa kuwa wakenya ni wakabila

KennedyMmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
979
Reaction score
187
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana
 
Huelewi unachokiandika. nadhani huna hata chembe ya uchambuzi wa mambo.
 
Mh! Nina amashaka kama unakielewa ulichokiandika na kama una wafahamu wakenya na siasa zao vema.

Kweli huyu hajui anachokiandika. Just imagine, mi ni mchaga, nagombea kwa wahaya, nikapata zero% ya kura uhayani , halafu kwetu uchagani nikapata 100%. Ndio kilichokuwa kinatokea Kenya. Tribalism is an Institution in Kenya.
 
Akisimama ------ pwani unataka kusema wasimpe kura ili isije ikawa ni ukabila?
 
kwahiyo kikuyu ni less than 50% ya wakenya...hiyo +20% imetoka wapi??kwahiyo kama mimi ni mchagga...akatokea mgombea mchagga nikamuona anafaa sera zake...nisimpigie kura kwa kuhofia kuambiwa kuwa ni mkabila??naomba matokeo yoyote uhuru aliyopata asilimia sifuri due to tribal lines voting...na pia unithibitishie kuwa nairobi wanaishi wakikuyu pekee,mombasa na miji mingine mikubwa...maana huko kote amepata kura nyingi tu...hata katika sehemu ambazo hana mahusiano ya kikabila nayo
 
Akisimama ------ pwani unataka kusema wasimpe kura ili isije ikawa ni ukabila?

hapo sasa...watu wamekrem kuwa wakenya ni wakabila...ndo maana hata wazungu na vyombo vyao vya habari walishajiandaa kabisa kurusha matangazo yanayoonesha misingi ya kikabila iliyopo kenya
 
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana

umekunywa pombe gani asubuhi asubuhi?.....Uhuru K na Jubilee yake pwani hawajapata kiti cha ubunge, useneta, ugavana wala viti maalum wanawake....Ukabila ni Taasisi yaivunjwi kwa porojo.
 
Ukabila ndio mtindo wa maisha kenya. Uelewi unachokiongea. Kuna kipindi kuelikea uchaguzi Uhuru alitaka kugive up kugombea na kumpa Mudavadi! Unajua reaction iliyotoka kwa Wakikuyu? State organs zimeplay role kusaidia ushindi wa Uhuru kwa kuhofia Mjaluo kuja kuharibu Mipango yao ya kuinjoy national cake. Mark my words: miaka atakayo kaa madarakani, UK na jopo lake watakua wanafikiria namna ya kumwezesha mkikuyu mwingine kumrithi. Ruto atajutia uamzi wake wa kumsapoti UK. after all bila yeye pengine hata huu urais asingeupata!
 
swala sio kupata kiti ama la....swala ni je...makabila mengine ya kenya yamempigia kura uhuruto??hili ndilo la msingi hapa...huwezi kuniambia kura karibu milioni 6 zote ni za wakikuyu...misingi ya ukabila kenya inakufa ila kuna watu kama ninyi ndo huwa mnaimba wimbo hadi kuaminisha walio wengi kuwa ukabila umekithiri kenya
 
unaweza ukawa uko sahihi...lakini uchaguzi huu umethibitisha jinsi ukabila unavyokosa nguvu kenya...hili lipo wazi kabisa
 
electionmap2.png
 
umekunywa pombe gani asubuhi asubuhi?.....Uhuru K na Jubilee yake pwani hawajapata kiti cha ubunge, useneta, ugavana wala viti maalum wanawake....Ukabila ni Taasisi yaivunjwi kwa porojo.
Sasa muheshimiwa pwani wanaishi wajaluo?
 
swala sio kupata kiti ama la....swala ni je...makabila mengine ya kenya yamempigia kura uhuruto??hili ndilo la msingi hapa...huwezi kuniambia kura karibu milioni 6 zote ni za wakikuyu...misingi ya ukabila kenya inakufa ila kuna watu kama ninyi ndo huwa mnaimba wimbo hadi kuaminisha walio wengi kuwa ukabila umekithiri kenya

Wewe ni nunda usiyejua unachokiamini!!

Hivi unajua sehemu kubwa ya ushindi wa Kenyatta umetokana na muungano wa Kikuyu na Kalenjins? Hivi ulikuwa unaona jinsi kura za Western na Nyanza zikisomwa Uhuru alivyokuwa anaambulia mpaka kura 85 au 97 kati ya maelfu ya kura? Hiyo inadhihirisha kabisa kwamba waliompigia upande huo pengine ni baadhi ya Wakikuyu wanaoishi huko. Tena hii imeonesha kabisa kwamba Jaluos ndo wanaongoza kwa ukabila.

Kwenye ngome ya Uhuru angalau hata RAO alikuwa anapata mpaka kura 3,000 tofauti na ukabila uliokuwapo upande wa RAO. Hivyo ukabila hautaisha leo Kenya itachukua muda mrefu!!
 
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana

kwani wakenya ni milioni 12 tu?
tambua kuwa uchaguzi ni mchezo wa hesabu.
Nilikuwa naangalia the citizen mtangazaji anawauliza watu wa eldoret kwann wanashangilia, wakajibu kwa sababu wakalenjin na wakikuyu tumeungana tumeshinda.
 
Kweli huyu hajui anachokiandika. Just imagine, mi ni mchaga, nagombea kwa wahaya, nikapata zero% ya kura uhayani , halafu kwetu uchagani nikapata 100%. Ndio kilichokuwa kinatokea Kenya. Tribalism is an Institution in Kenya.

Well said mkuu! Gonjwa la ukabila ni kubwa na litachukua muda sana kuisha huko. Mtu anaibiwa ktk daladala halafu anasema lazima atakuwa mtu wa kabila fulani ndo kanitenda. Loh!
 
this is funny
 
kwani wakenya ni milioni 12 tu?
tambua kuwa uchaguzi ni mchezo wa hesabu.
Nilikuwa naangalia the citizen mtangazaji anawauliza watu wa eldoret kwann wanashangilia, wakajibu kwa sababu wakalenjin na wakikuyu tumeungana tumeshinda.

sasa na wewe unawaza kwa kutumia masaburi ama??milioni 14 ni walojiandikisha ndo wakenya waliokuwa na sifa...mil 12 walipiga kura...washukuru mungu kwa hilo...tanzania mil 20 wenye sifa na walijiandikisha na turn up ikawa milioni 8...less than 50 percent ya wapigakura
 
Back
Top Bottom