Ni kweli Kura zimepigwa na ukabila. Uhuru won with support from his tribe and Ruth's tribe. Those 2 tribes registered the greatest number of voters with abnormally high turnout. Uhuru lost everywhere else. Raila won and had the support from 40 of the 42 tribes. That is just the fact. Kenya is more divided now than ever.
Nakubaliana na wewe kabisa...Hebu angalieni hesabu hii jinsi ukabila ulivyomsaidia Uhuru kushinda
Hizi data nilipata kwa Mkenya mmoja aishie Nairobi
Kikuyus walijiandkisha 4.3 Million
Kalenjins (kwa Ruto) walijiandikisha 1.7 millions
Merus - Great supporters wa wakikuyu walikuwa 0.9 million
Jumla ni kura takiban 6.0Million
Jaluos walijiandikisha 1.7Million
Kambas (Kwa Kalonzo) 1.6 million
Jumla ni 3.3 million
Luhya kwa Musalia Mudavadi walijiandikisha kama 1.5million hivi
Kwahiyo Uhuru alihitaji kura chache sana kutoka kwa makabila mengine ndivyo ashinde. Na ndicho kilichotokea.
Kama uliangalia vyema, Raila alipata kura nyingi kutoka kwa sehemu nyingine pia. Na makabila karibuni yote yalisapoti muungano wake... Isipokuwa ya wakalenjins na Kikuyus, na Wamerus
Kungekuwa na Run off angeweza kushinda Raila...lakini kwa first run...alikuwa hana ujanja, na ndicho kilichojiri...
Chezea ukabila Kenya weye?