KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana
Mh! Nina amashaka kama unakielewa ulichokiandika na kama una wafahamu wakenya na siasa zao vema.
Kweli huyu hajui anachokiandika. Just imagine, mi ni mchaga, nagombea kwa wahaya, nikapata zero% ya kura uhayani , halafu kwetu uchagani nikapata 100%. Ndio kilichokuwa kinatokea Kenya. Tribalism is an Institution in Kenya.
Akisimama ------ pwani unataka kusema wasimpe kura ili isije ikawa ni ukabila?
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana
Ukabila ndio mtindo wa maisha kenya. Uelewi unachokiongea. Kuna kipindi kuelikea uchaguzi Uhuru alitaka kugive up kugombea na kumpa Mudavadi! Unajua reaction iliyotoka kwa Wakikuyu? State organs zimeplay role kusaidia ushindi wa Uhuru kwa kuhofia Mjaluo kuja kuharibu Mipango yao ya kuinjoy national cake. Mark my words: miaka atakayo kaa madarakani, UK na jopo lake watakua wanafikiria namna ya kumwezesha mkikuyu mwingine kumrithi. Ruto atajutia uamzi wake wa kumsapoti UK. after all bila yeye pengine hata huu urais asingeupata!
Sasa muheshimiwa pwani wanaishi wajaluo?umekunywa pombe gani asubuhi asubuhi?.....Uhuru K na Jubilee yake pwani hawajapata kiti cha ubunge, useneta, ugavana wala viti maalum wanawake....Ukabila ni Taasisi yaivunjwi kwa porojo.
swala sio kupata kiti ama la....swala ni je...makabila mengine ya kenya yamempigia kura uhuruto??hili ndilo la msingi hapa...huwezi kuniambia kura karibu milioni 6 zote ni za wakikuyu...misingi ya ukabila kenya inakufa ila kuna watu kama ninyi ndo huwa mnaimba wimbo hadi kuaminisha walio wengi kuwa ukabila umekithiri kenya
Ninawapongeza wakenya..kwa kumchagua rais wanayemtaka...hakika wamevuka kikwazo cha ukabila ambacho kilikuwani wimbo wa taifa...kupata asilimia 50 tu ukizingatia wakikuyu hawazidi 30% ya wakenya ni kiashirio kuwa hata makabila mengine yalimpigia kura...wimbo wa ukabila kenya unakaribia kwisha...hongerenisana
Kweli huyu hajui anachokiandika. Just imagine, mi ni mchaga, nagombea kwa wahaya, nikapata zero% ya kura uhayani , halafu kwetu uchagani nikapata 100%. Ndio kilichokuwa kinatokea Kenya. Tribalism is an Institution in Kenya.
Sasa muheshimiwa pwani wanaishi wajaluo?
Well said mkuu! Gonjwa la ukabila ni kubwa na litachukua muda sana kuisha huko. Mtu anaibiwa ktk daladala halafu anasema lazima atakuwa mtu wa kabila fulani ndo kanitenda. Loh!
kwani wakenya ni milioni 12 tu?
tambua kuwa uchaguzi ni mchezo wa hesabu.
Nilikuwa naangalia the citizen mtangazaji anawauliza watu wa eldoret kwann wanashangilia, wakajibu kwa sababu wakalenjin na wakikuyu tumeungana tumeshinda.