Tuagane hapa, muage umpendae hapa, kuonana mwakani 2017

Nashkuru sana mkuu barafu...

Ni kweli kuwa mimi ni mwanamke.

Ubarikiwe na uwe na mchana mwema.
Unajua sio peke yake tu aliyekuwa na misconception ya kuwa wewe sio mwanamke?

Kiukweli hata mimi nimekuwa nikifahamu wewe ni kidume cha mbegu lakin kumbe sio daah, ila nina shukuru sasa hivi nimefahamu.

Nakupa hongera dada kwa kuuona mwaka.
 
Mudogo mudogo sasa mkuu wangu, usikwangue mpaka ukoko. Mie nishaweka na ndizi mfukoni, tupo njiani twaja.

-Kaveli-
Au sio? baasi mjitahid muwahi nimewaachia wa kiaina tu usipotosha nitawaombea hata kwa jirani yangu hapa ni muhindi si unajuaga mapishi yao.
 
Unajua sio peke yake tu aliyekuwa na misconception ya kuwa wewe sio mwanamke?

Kiukweli hata mimi nimekuwa nikifahamu wewe ni kidume cha mbegu lakin kumbe sio daah, ila nina shukuru sasa hivi nimefahamu.

Nakupa hongera dada kwa kuuona mwaka.
Asante kaka yangu ,nawe pia.
 
asante..
Hili jina lako ni adimu sana sista na ndio maana linawachanganya wengi, binafsi mimi nimewahi kuona watu wawili tu wenye jina hili.

Kuna wajina wako anaitwa Patience Ozokwar unamfahamu?
Hapana,simfahamu kaka yangu.
 
asante..
Hili jina lako ni adimu sana sista na ndio maana linawachanganya wengi, binafsi mimi nimewahi kuona watu wawili tu wenye jina hili.

Kuna wajina wako anaitwa Patience Ozokwar unamfahamu?
Teh ni Ozokwor a.k a. "mama G" originale. Napendaga tu jinsi alivyo mtata, timbwili lake sio la bara hili
 
Teh ni Ozokwor a.k a. "mama G" originale. Napendaga tu jinsi alivyo mtata, timbwili lake sio la bara hili
wanamwita mama G, G for general.

Acha kabisaa yule mama ana roho mbaya dunia nzima.

Bongo hapa namfananishaga na bi mwenda kwa sababu role za uchawi wanaziwezea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…